Haha baba ntoto chupa atakimbilia wapi zamu yako kugegedwa kama wale uliwatupa baharini😂😂😂October Msema Kweli acha tuone mwisho wa Sarakasi hizi
Tunajidanganya mkuu, kwa tume hii inayopokea maagizo toka kwa mwajiri kamwe tusitegemee hicho kitu, awamu hii bungeni kukiwa na wabunge wa upinzan ata watatu tu itakuwa ni maajabu ya musa, atapita kwa kishindo bt tonge litakwapuliwa asubui na mapemaView attachment 1499535
Hili kwangu ni jambo jipya kidogo, kwa wanawake wenye uwezo wa kawaida kumlipia fomu Mbunge mstaafu mwenye marupurupu kibao, si jambo la kawaida hata kidogo.
Ama kwa Hakika kutoa ni moyo.
Kinachojalisha ni khanga na vitenge pamoja na posho ya usafiri.Kinachojalisha ni nini[emoji848]
Mbeya ipi? Hako kakundi toka ufipa Fc ndo useme mbeya?Si mchezo Mby wametisha...."mbuge wa milele"[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ndio muongo, hao watu hata 20 hawafiki ndo wanawake wa mbeya?Endelea kutunga uongo
Inajalisha sana. Ili tuone ni kwa kiasi gani wamejitoa hao wanawakehaijalishi .
serekali isipokuwa careful, soon familia za mapolisi zinaweza kuanza kujikuta katika mazingira hatarishi kwani inaachia mbegu ya uhasama kati ya raia na polisi ikue na kuzaa.aliyekudanganya polisi wanatumikishwa nani . ..waliokuambia waambie waache kazi , wengine wataajiriwa.
Mungu baraka zake ni kama mvua huwa inanyesha kwa wote, waovu na wema.Mungu ibariki Mbeya
hawajui kiasi anachopata wakijua watadai awarudishie pesa zao na riba juu hapatakalikaView attachment 1499535
Hili kwangu ni jambo jipya kidogo, kwa wanawake wenye uwezo wa kawaida kumlipia fomu Mbunge mstaafu mwenye marupurupu kibao, si jambo la kawaida hata kidogo.
Ama kwa Hakika kutoa ni moyo.
Taratibu mkuu, mimi nimenikuu alichosema mwenye thread. Au wewe hujaona kasema Mbeya?Mbeya ipi? Hako kakundi toka ufipa Fc ndo useme mbeya?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Tulia trust hatoamini kinachomtoa Sugu ni sugu kwelikweli[emoji23][emoji23][emoji23]October Msema Kweli acha tuone mwisho wa Sarakasi hizi
Nikajua anagombea dada ako kumbe ni unampigia debe tulia[emoji1][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23] ..dah ila mnajifariji..sugu harudi hapo nyie muageni tu, jimbo linaenda kwa dada yetu tulia..
Kwani uliambiwa chadema huko mbeya haina wafuasi wanawake?View attachment 1499535
Hili kwangu ni jambo jipya kidogo, kwa wanawake wenye uwezo wa kawaida kumlipia fomu Mbunge mstaafu mwenye marupurupu kibao, si jambo la kawaida hata kidogo.
Ama kwa Hakika kutoa ni moyo.
Ungeficha ujinga wako jukwaa zima lisingefahamu upana wa ujinga wako .Ndo madhara ya wanaume kuoa mke mmoja mmoja .
ona sasa mabinti wanazurura tu mitaani.
wanawake ni wengi kuliko wanaume.kila mwanaume akioa angalau wake wawili ama watatu wanawake wasingezurula hovyo namna hii.
Unawaona hao ni wanaume?Vituko haviishi hao ndio wanawake wa mbeya au Ni wafuasi wa machadema? "Eti mbunge wa kudumu"mbavu zangu mie[emoji23][emoji1787][emoji2960]
Yakitokea CCM yanakuwa halali sio?"Kwani boss ungesema tu kuwa mgombea wa ubunge Jimbo la mbeya mjini awapatia fedha wanawake wa chama chake kwenda kumuchukulia form ya kugombea ubunge"
Usingeeleweka?
Basi sawaKinachojalisha ni khanga na vitenge pamoja na posho ya usafiri.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Polisi hawakuwepo?
Ina maana nyie hamjawahi hata on ana?Nakumegea siri , polisi wamechoka mno kutumikishwa .
Ndio tumaini lenu siku zote, lakini kama wanadamu wanaona dhulma yenu kwa hata wapendwa waoaliyekudanganya polisi wanatumikishwa nani . ..waliokuambia waambie waache kazi , wengine wataajiriwa.
Yule mama alizika jeneza la CHADEMA akidai CDM imekufa Mby yuko wapi??Atapewa kesi ya "KUFANYA MAANDAMANO" kama Zitto maana "POLISI" walishaanza kampeni toka 2015.