Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
- Thread starter
-
- #21
Maisha ni mafupi na tuna uhuru wa habari. Pia, si wote wapo upande uliopo. Na si wote walioko kimya hawapo upande wako.Nilimwambia Tundu Lissu watu anaowapigania ndio hawa. Apime kama bado ana haja ya kuendelea kuwapigania
Kwa wewe huko "Itilima" na "kishapu" Jux ana hela, Kwa vijana wa Mjini ambao weekend anaend akuangalia EPL kule Dubai na kurudi basi Jux ni wa kawaida sana.Wanawake wasanii wanagongwa na wenye Hela. Je jux hana Hela ?
Watu wapo busy kuchambua mademu za watuNilimwambia Tundu Lissu watu anaowapigania ndio hawa. Apime kama bado ana haja ya kuendelea kuwapigania
AiseeKwa wewe huko "Itilima" na "kishapu" Jux ana hela, Kwa vijana wa Mjini ambao weekend anaend akuangalia EPL kule Dubai na kurudi basi Jux ni wa kawaida sana.
Alikuwa Bikra.Huyo aliyemuoa yeye kwani kamkuta bikra si alishaguswa
Kila mtu ashinde mechi zake
Sawa, najihadhari.Kua makini naa wewe asije akakubandua
Mama mwenye mjukuuKwani jinsia yako nigani mkuu...🤔
Tusiambiane?wakati mwingine nyie ndio mnatuchanganya...
Kuambiana ni muhimu sana mkuu!Tusiambiane?