Wanawake wa kabila la Wasafwa

Wanawake wa kabila la Wasafwa

Achana na makabila..binadamu kaumbwa unique kila mtu na sifa yake.hasa wakti huu kuna maendele na vile watu wamejichanganya sana.Ukibase kwenye makabila unawezaa mhukumu au overpraise mtu isipostahili.
Zion daughter[emoji106] [emoji106]
 
hizo sifa zote ulizotaja ni sifa za mwanadamu.
Sioni cha kuita ukabila hapo, ni sawa kinachotakiwa kuangaliwa ni wasifu wa mtu binafsi lakini asili na tamaduni ni muhimu kuangalia hasa kama unayemlenga amekuzwa katika misingi ya kimila na kitamaduni, else mtashindwana tu.
Kuna makabila wanawezana wenyewe kwa wenyewe tu.
Watu wengi huwa wanasoma post za watu na hawaelewi alioandika kamaanisha nini! Mfano ni wewe! Huyo jamaa hajasifu wala hajaponda ilo kabila ni kama amemkejeli mtoa mada tu kwa icho alichokiuliza
 
Watu wengi huwa wanasoma post za watu na hawaelewi alioandika kamaanisha nini! Mfano ni wewe! Huyo jamaa hajasifu wala hajaponda ilo kabila ni kama amemkejeli mtoa mada tu kwa icho alichokiuliza
Wewe pia ni sidhani kama kama umenielewa. Work hard amigo!
 
Back
Top Bottom