Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachafu sana kimwili.naombeni msaada jamani kabila la wasafwa wenyeji wa mkoa wa Mbeya,wanawake wa kabila hilo wana sifa gani,ni muhimu kwangu naomba msaada wana JF nawasilisha
Mkuu haaaah hii ntamuonyesha wambiWambi Sijabaje na Rebecca Mpayo hebu njooni fasta huku
Msalimie sana nesi wa kimataifaMkuu haaaah hii ntamuonyesha wambi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu Umemjuaje bhnaaaaa?Msalimie sana nesi wa kimataifa
Zion daughter[emoji106] [emoji106]Achana na makabila..binadamu kaumbwa unique kila mtu na sifa yake.hasa wakti huu kuna maendele na vile watu wamejichanganya sana.Ukibase kwenye makabila unawezaa mhukumu au overpraise mtu isipostahili.
Watu wengi huwa wanasoma post za watu na hawaelewi alioandika kamaanisha nini! Mfano ni wewe! Huyo jamaa hajasifu wala hajaponda ilo kabila ni kama amemkejeli mtoa mada tu kwa icho alichokiulizahizo sifa zote ulizotaja ni sifa za mwanadamu.
Sioni cha kuita ukabila hapo, ni sawa kinachotakiwa kuangaliwa ni wasifu wa mtu binafsi lakini asili na tamaduni ni muhimu kuangalia hasa kama unayemlenga amekuzwa katika misingi ya kimila na kitamaduni, else mtashindwana tu.
Kuna makabila wanawezana wenyewe kwa wenyewe tu.
Wewe pia ni sidhani kama kama umenielewa. Work hard amigo!Watu wengi huwa wanasoma post za watu na hawaelewi alioandika kamaanisha nini! Mfano ni wewe! Huyo jamaa hajasifu wala hajaponda ilo kabila ni kama amemkejeli mtoa mada tu kwa icho alichokiuliza