Wanawake wa kabila la Wasafwa

Tena wakitoka kuuza mboga masokoni alafu ikibaki huwa wanaikojolea au kuitupa hawajali kuwapa hata wasio jiweza[emoji108] [emoji57]
 
Achana na makabila..binadamu kaumbwa unique kila mtu na sifa yake.hasa wakti huu kuna maendele na vile watu wamejichanganya sana.Ukibase kwenye makabila unawezaa mhukumu au overpraise mtu isipostahili.
Zion daughter[emoji106] [emoji106]
 
Watu wengi huwa wanasoma post za watu na hawaelewi alioandika kamaanisha nini! Mfano ni wewe! Huyo jamaa hajasifu wala hajaponda ilo kabila ni kama amemkejeli mtoa mada tu kwa icho alichokiuliza
 
Watu wengi huwa wanasoma post za watu na hawaelewi alioandika kamaanisha nini! Mfano ni wewe! Huyo jamaa hajasifu wala hajaponda ilo kabila ni kama amemkejeli mtoa mada tu kwa icho alichokiuliza
Wewe pia ni sidhani kama kama umenielewa. Work hard amigo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…