Fahari ya kusini
JF-Expert Member
- Nov 26, 2022
- 545
- 1,908
Kiukweli hawa wanawake wa kichaga hasa hawa wanawake wa kutoka Machame ndiyo wife material kiukweli yaani mimi baada ya kumpiga chini yule Mnyantuzu nikaenda kwa hawa wanawake wa kichaga kutoka Machame kiukweli nimepata amani ya moyo na maisha yangu yanaenda sawa nimejenga nyumba 2 Machame, nimejenga nyumba kadhaa Moshi na viwanja vingi sana Arusha na Moshi.Mke wangu ananipenda sana na mimi nampenda tumezaa watoto wawili na tunaendelea kuzaa wakuu kama unataka kutoboa kwenye maisha oa Mchaga hasa hawa Wamachame ni wife material yaani baada ya miaka kadhaa I will be rich kwasababu ya huyu huyu mke wangu wa kimachame
Jamani nasisitiza wachaga hasa hawa wa Kimachame ni wife material yaani mimi Mmakonde nimeoza kwa huyu Mchaga wa kutoka Machame na sina haja ya kuwekeza Nyumbani nitawekeza huku huku Moshi wakwe zangu kwanza wao ndiyo wanasimamia biashara zangu na mali zangu nampenda sana mke wangu na wakwe zangu wananipenda sana I love chaga especially Machame woman
Nashauri oeni wachaga hasa hawa wa kutoka Machame