Wanawake wa Kichaga wanawapenda sana Wanaume wa Kisukuma

Wanawake wa Kichaga wanawapenda sana Wanaume wa Kisukuma

Wakuu habari.

Kwa elimu yangu hii nimesomea A. Level na chuo maeneo ya kasikazini ila katika uzoefu niliojionea uko uchagani sio siri wanaume wa kisukuma wanapendwa sana yaana ukimwambia kabila tu kuwa mimi ni msukuma hapohapo kashakupenda sijui kwanini.

Swali langu kwa nyie wachaga mbona mnawapenda sana wasukuma?
Jipe moyo tu,hayo ni mapenzi ya utoto ya chuo,
Nenda uangalie takwimu,wachaga wanaongoza kuolewa na wahaya,na wahaya kuolewa na wachaga,wanafanana kwa akili ya pesa,darasani,sio sukuma inayijisifu kuishia darasa la saba
 
Wakuu habari.

Kwa elimu yangu hii nimesomea A. Level na chuo maeneo ya kasikazini ila katika uzoefu niliojionea uko uchagani sio siri wanaume wa kisukuma wanapendwa sana yaana ukimwambia kabila tu kuwa mimi ni msukuma hapohapo kashakupenda sijui kwanini.

Swali langu kwa nyie wachaga mbona mnawapenda sana wasukuma?
Ila hii kitu kama ina ukweli wa 75% hivi watoto wa kichaga wanashobokea sana mangosha in reality.
 
Wakuu habari.

Kwa elimu yangu hii nimesomea A. Level na chuo maeneo ya kasikazini ila katika uzoefu niliojionea uko uchagani sio siri wanaume wa kisukuma wanapendwa sana yaana ukimwambia kabila tu kuwa mimi ni msukuma hapohapo kashakupenda sijui kwanini.

Swali langu kwa nyie wachaga mbona mnawapenda sana wasukuma?
Ni kweli wanaume wa Kisukuma hususani wanachuo ndio wanaongoza kwa kupendwa na mabinti wazuri hasa wa Kichaga. Sababu kubwa ni kuwa huwa wanahonga hela yote na wao wanaishi chumba kimoja wanaume 6 hadi 8.
Ukija kwenye maisha halisi mabinti hao wa Kichaga hawaolewi na hao wasukuma.... Wanawaita CHASAKA
 
Wasukuma wengi sana wameoa wachaga nadhani inawezekana wachaga na wasukuma kuwa kabila ambalo wameoleana sana kuliko kabila lolote Tanzania Nashangaaa huyu munywa Konyagi anataka kuleta chuki dhidi ya haya makabila mawili
 
Ni kwasababu munachunika. [emoji23][emoji23] tunajua ni mazoba hivi. Ila naonaga combo ya wahaya na wachagga ndo imekua kubwa sana. Ya wasukuma na wachagga ndoa hazidumugi. Ila pia qasukuma vijana wa siku hizi mamarioo kibao tuu yani. Kuna mmoja kaoa mdogo wa jamaa yetu. Binti ndo anamuweka mjini. Ila kijana ni liability. Binti atakapoamua kumtema baasi[emoji23][emoji23]
 
Yani wasukuma ni washamba sana hasa wakiona mwanamke mweupe!!!wanababaika mpaka inashangaza
 
Ulichokiandika ndio nilichokua nafikiria kukiandika kwa kirefu zaidi,mimi pia ni msukuma na nimekulia mazingira yote bush and town kwa kifupi hao watu wanajua madhaifu yetu yote kwa kina so hio ni advantage kwao,tuko dhaifu san kwa swala la mapenzi na tunatekeka kirahisi mno
Poleni sana Wasukuma
 
Back
Top Bottom