Wanawake wa Kichaga wanawapenda sana Wanaume wa Kisukuma

Jipe moyo tu,hayo ni mapenzi ya utoto ya chuo,
Nenda uangalie takwimu,wachaga wanaongoza kuolewa na wahaya,na wahaya kuolewa na wachaga,wanafanana kwa akili ya pesa,darasani,sio sukuma inayijisifu kuishia darasa la saba
 
Ila hii kitu kama ina ukweli wa 75% hivi watoto wa kichaga wanashobokea sana mangosha in reality.
 
Ni kweli wanaume wa Kisukuma hususani wanachuo ndio wanaongoza kwa kupendwa na mabinti wazuri hasa wa Kichaga. Sababu kubwa ni kuwa huwa wanahonga hela yote na wao wanaishi chumba kimoja wanaume 6 hadi 8.
Ukija kwenye maisha halisi mabinti hao wa Kichaga hawaolewi na hao wasukuma.... Wanawaita CHASAKA
 
Wasukuma wengi sana wameoa wachaga nadhani inawezekana wachaga na wasukuma kuwa kabila ambalo wameoleana sana kuliko kabila lolote Tanzania Nashangaaa huyu munywa Konyagi anataka kuleta chuki dhidi ya haya makabila mawili
 
Ni kwasababu munachunika. [emoji23][emoji23] tunajua ni mazoba hivi. Ila naonaga combo ya wahaya na wachagga ndo imekua kubwa sana. Ya wasukuma na wachagga ndoa hazidumugi. Ila pia qasukuma vijana wa siku hizi mamarioo kibao tuu yani. Kuna mmoja kaoa mdogo wa jamaa yetu. Binti ndo anamuweka mjini. Ila kijana ni liability. Binti atakapoamua kumtema baasi[emoji23][emoji23]
 
Yani wasukuma ni washamba sana hasa wakiona mwanamke mweupe!!!wanababaika mpaka inashangaza
 
Poleni sana Wasukuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…