Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Ni kweli warangi wa Kristo hasa Wakatoliki wengi ni wazuri hata mimi nimeliona hilo.Aah wapi mkuu.
Ni ubahatishe tu hakuna cha uislam wala ukristo wala upagani kaka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli warangi wa Kristo hasa Wakatoliki wengi ni wazuri hata mimi nimeliona hilo.Aah wapi mkuu.
Ni ubahatishe tu hakuna cha uislam wala ukristo wala upagani kaka.
Sio kweli na kwa taarifa yako mfano mke wa Dr. Ndugulile nae ni Daktari badowamefurahi waume zao kufa maana wao hupenda mali
Stuli ya ugoko tena jamani...🤣🤣🤣🤣🤣 Huyo naye alikuwa ndezi mwanaume unapigwaje na mwanamke bana??!! Mie ndio maana nasema mwanamke ni kizabia vibao from time to time ili akae sawa kama wafanyavyo taliban. Ukiwachekea hawa viumbe they start playing with ur ballsIla moto waliupata.
Kuna mmoja hapo aliwahi kupigwa na stuli ya ugoko hadi goti likateguka...😂
Kuna huyo mwingine anae fuata aliuona moto hadi akaamua kuama na kuisusia nyumba akaenda kuishi kwa mpango wa kando..😜
😁😁😁😁😁😁 Uyo upo nae mpaka 2060🤣Daah comment za humu bana..kwahyo ndo kusema binti yangu mtakaza wtt wenu wasimuoe? Maana nimeolewa uchagani
1. Kwa misiba ya Karibuni ya watu maarufu hapa nchini (Mafuru na Ndugulile) nimegundua wajane wote ni toka Uchagani.
2. Hawa viumbe wananusa fursa na kujulia namna ya kukuza kipaji cha mume mpaka ngazi za juu. Tofauti na wanaume wa Uchagani wanaoshobokea Wadangaji wanakuja kuharibu familia na Mali za marehemu (RIP Dr Machache).
Orodha ya watu maarufu waliooa Uchagani
1. Mafuru (RIP)
2. Dr. Ndugulile (RIP)
3. Mhe. Dr Lameck Madelu Nchemba - BA Economics (Hons.) First Class, MA Economics, PhD.
4. Mhe. January Makamba (MP),
5. Prof Kitila Mkumbo (PhD),
6. Jumaa Awesso (MP),
7. Majizzo,
8. Rich Mitindo,
9. Prof Mukandala (PhD),
10. Nabii Mkuu Mwingira.
11. Dr Salmin,
12. Prof Lipumba (PhD).
Hata Prof Lipumba mke wake ni Mchagga. Anaitwa somebody Mtenga.Unajua kwa nini kijana? Miaka tunakua sisi ni jamii ya kichaga tu ilikua inapeleka watoto wa kike kwa wingi shule, so ndio wanawake pekee waliokua accessible kwa vijana wanaosoma/wasomi kama hawa ambao umewataja hapa. Ilikua ni nadra sana kumkuta binti mzuri wa kinyamwezi hadi Lipumba akutane naye chuo au wa kinyiramba hadi mkumbo amkute pale jalalani, na wengine wote. Kwa sasa baada ya shule za sekondari kuongezeka miaka ya mwanzo ya 90 ndipo jamii zingine zikajaa pia vyuoni hasa kuanzia miaka ya 2000+ ndio maana sio wachaga tu wanaopata elimu ya chuo hadi wao tu ndio waolewe na wasomi, japokuwa bado kila darasa vyuo vyote ukihesabu utakuta wadada wa kichaga bado ni wengi zaidi ya jamii zingine!
Upupu2 sasa kama Taifa inatuhusu nini?なたはさかあ!!!1. Kwa misiba ya Karibuni ya watu maarufu hapa nchini (Mafuru na Ndugulile) nimegundua wajane wote ni toka Uchagani.
2. Hawa viumbe wananusa fursa na kujulia namna ya kukuza kipaji cha mume mpaka ngazi za juu. Tofauti na wanaume wa Uchagani wanaoshobokea Wadangaji wanakuja kuharibu familia na Mali za marehemu (RIP Dr Machache).
Orodha ya watu maarufu waliooa Uchagani
1. Mafuru (RIP)
2. Dr. Ndugulile (RIP)
3. Mhe. Dr Lameck Madelu Nchemba - BA Economics (Hons.) First Class, MA Economics, PhD.
4. Mhe. January Makamba (MP),
5. Prof Kitila Mkumbo (PhD),
6. Jumaa Awesso (MP),
7. Majizzo,
8. Rich Mitindo,
9. Prof Mukandala (PhD),
10. Nabii Mkuu Mwingira.
11. Dr Salmin,
12. Prof Lipumba (PhD).
Unadhani wao wanalitizama hilo?Sio kweli na kwa taarifa yako mfano mke wa Dr. Ndugulile nae ni Daktari bado
hata kama kusingekuwa na mali angeweza kulewa watoto wake.
Unawakataa ndugu zako wapemba mkuu!?😀washamba kutoka milimani huko
Mmwera najua utapata wasaidizi hawanaga baya hao.Nimezaa Na Mchagga, Msukuma, Mhangaza Na Mmwela. Kila mtoto wangu ni first born
Kivipi,mbona sijakuelewa hapo kuhusu wamwera...Mmwera najua utapata wasaidizi hawanaga baya hao.
Nipo nao Nachingwea apa
Lipumba kaoa lini???1. Kwa misiba ya Karibuni ya watu maarufu hapa nchini (Mafuru na Ndugulile) nimegundua wajane wote ni toka Uchagani.
2. Hawa viumbe wananusa fursa na kujulia namna ya kukuza kipaji cha mume mpaka ngazi za juu. Tofauti na wanaume wa Uchagani wanaoshobokea Wadangaji Vyasaka wanakuja kuharibu familia na Mali za marehemu (RIP Dr Machache).
Orodha ya watu maarufu waliooa Uchagani
1. Mafuru (RIP)
2. Dr. Ndugulile (RIP)
3. Mhe. Dr Lameck Madelu Nchemba - BA Economics (Hons.) First Class, MA Economics, PhD.
4. Mhe. January Makamba (MP),
5. Prof Kitila Mkumbo (PhD),
6. Jumaa Awesso (MP),
7. Majizzo,
8. Rich Mitindo,
9. Prof Mukandala (PhD),
10. Nabii Mkuu Mwingira.
11. Dr Salmin,
12. Prof Lipumba (PhD).
Kisturi mzee Mkapa, je hiyo mwingine ni nani?Ila moto waliupata.
Kuna mmoja hapo aliwahi kupigwa na stuli ya ugoko hadi goti likateguka...😂
Kuna huyo mwingine anae fuata aliuona moto hadi akaamua kuama na kuisusia nyumba akaenda kuishi kwa mpango wa kando..😜
Nasikia vya feni kama Fatou au ni maneno tu?Bora mimi nmeoa makonde usiku anakua mkoloni ananinyonya usiku mzima