Wanawake wa Kichaga wapewe maua yao!

Ila moto waliupata.
Kuna mmoja hapo aliwahi kupigwa na stuli ya ugoko hadi goti likateguka...😂
Kuna huyo mwingine anae fuata aliuona moto hadi akaamua kuama na kuisusia nyumba akaenda kuishi kwa mpango wa kando..😜
Stuli ya ugoko tena jamani...🤣🤣🤣🤣🤣 Huyo naye alikuwa ndezi mwanaume unapigwaje na mwanamke bana??!! Mie ndio maana nasema mwanamke ni kizabia vibao from time to time ili akae sawa kama wafanyavyo taliban. Ukiwachekea hawa viumbe they start playing with ur balls
 

Unajua kwa nini kijana? Miaka tunakua sisi ni jamii ya kichaga tu ilikua inapeleka watoto wa kike kwa wingi shule, so ndio wanawake pekee waliokua accessible kwa vijana wanaosoma/wasomi kama hawa ambao umewataja hapa. Ilikua ni nadra sana kumkuta binti mzuri wa kinyamwezi hadi Lipumba akutane naye chuo au wa kinyiramba hadi mkumbo amkute pale jalalani, na wengine wote. Kwa sasa baada ya shule za sekondari kuongezeka miaka ya mwanzo ya 90 ndipo jamii zingine zikajaa pia vyuoni hasa kuanzia miaka ya 2000+ ndio maana sio wachaga tu wanaopata elimu ya chuo hadi wao tu ndio waolewe na wasomi, japokuwa bado kila darasa vyuo vyote ukihesabu utakuta wadada wa kichaga bado ni wengi zaidi ya jamii zingine!

Huu mtazamo wa kibaguzi na kipuuzi utaelekea jalalani muda unavyosogea na watoto wa kike wa jamii zingine wanavyozidi kupata elimu
 
Hata Prof Lipumba mke wake ni Mchagga. Anaitwa somebody Mtenga.
 
Upupu2 sasa kama Taifa inatuhusu nini?なたはさかあ!!!
 
Samahani kwa kuzaliwa mnene

Samahani kwa kuzaliwa mwembamba



Maana upataji wako wa hela sijui walianza kukujudge wapi!? Kama bado haujafika kwa mama yako Ajiri Utumwa.. Sijui Shule, Sijui Hospitalini, Sijui Hotelini, Sijui Mtaani, Sijui kazini, Sijui msikitini/Kanisani/Sijui msibani


Daaah Una kumbukumbu na kulaumu sikuwa na fedha samahani kwa kushindwa kuvaa pampas yaliyobaki yote yalikuwa historia
 

Attachments

  • download (2).jpg
    2.4 KB · Views: 7
Lipumba kaoa lini???
Hii ilinipita.
 
Ila moto waliupata.
Kuna mmoja hapo aliwahi kupigwa na stuli ya ugoko hadi goti likateguka...😂
Kuna huyo mwingine anae fuata aliuona moto hadi akaamua kuama na kuisusia nyumba akaenda kuishi kwa mpango wa kando..😜
Kisturi mzee Mkapa, je hiyo mwingine ni nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…