Wanawake wa Kichaga wapewe maua yao!

Baadhi ya Pisi za kichaga ni Kali kimuonekano ila kitandani ni mazezeta.


Unaliweka hivi lenyewe linakaa vile. Sijui Huwa wanalelewaje!


Hii kabila sio Kwa mtu anaetaka kupiga show
 
Ila moto waliupata.
Kuna mmoja hapo aliwahi kupigwa na stuli ya ugoko hadi goti likateguka...😂
Kuna huyo mwingine anae fuata aliuona moto hadi akaamua kuama na kuisusia nyumba akaenda kuishi kwa mpango wa kando..😜
Hahaha yupi alisusia nÿumba?
 
Mi ni mchagaa pure kabisa ila sijawahi kuwa na mahusiano na mwanamke wa kichaga na hata huyu mke wangu sio mchagaa
Watoto wangu ni machotara!
Mzee wangu alinikanya nisioge mchagaa mwenzangu
Wanawake wa kichaga sio poa nikiwaangalia kaka zangu wanavyoteseka acha tu
 
Kama kweli vile, kwenye darasa letu chuo kulikuwa na kina mis lymo, miss massawe, ms lema, ms tarimo, ms mtei ms lyamuya na ndio walikuwa wengi.
Aisee bwasheee hebu nitafutie mrembo hapo rombo mashati nioe
 
Fredrick Summaye
Benjamin mkapa
John Mongela
Hawa pia wameonja Kilimanjaro!!
Na alokuwa Rais wa znz Salmin Amour nafikiri na yy kaonja kilimanjaro kampiga kisawasawa na yuko mmoja mshikaji wangu kaoa mchaga akanunu nyumba mikocheni akamaundikia mke wake ,pia bibi kachukua nyumba na talaka akaomba .
 
Kwanza mke wa mwingira ni mmeru sio mchagga. Pili sipendi ukabila
 
Ila moto waliupata.
Kuna mmoja hapo aliwahi kupigwa na stuli ya ugoko hadi goti likateguka...[emoji23]
Kuna huyo mwingine anae fuata aliuona moto hadi akaamua kuama na kuisusia nyumba akaenda kuishi kwa mpango wa kando..[emoji12]
kwa taarifa tu kati yawanawake wenye uvumilivu ni wachaga.
mnawaonea bure mi wa kwangu ana utu na mshauri mzuri na mlezi bora wa watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…