Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi mmwela umemuoa mkuu?Nimezaa Na Mchagga, Msukuma, Mhangaza Na Mmwela. Kila mtoto wangu ni first born
Kabisa hapa ni kula vizuri tu maisha ndo haya haya 😀😂😂😂😂😂😂
Nimecheka..! Bro bhaana, tunajitahidi siku hizi kuwa serious kidogo hatutowaangusha kabisa msiogope..!!
sahii nimekaa karibu na International Chef wangu Aaliyyah nipo mikono salama kabisa..!!
Endeleeni na dhana hizo watu waliofanikiwa wameoa uchaganiYaani unaniletea Mpalestina?, hapa kwangu asifike....
Hahaha yupi alisusia nÿumba?Ila moto waliupata.
Kuna mmoja hapo aliwahi kupigwa na stuli ya ugoko hadi goti likateguka...😂
Kuna huyo mwingine anae fuata aliuona moto hadi akaamua kuama na kuisusia nyumba akaenda kuishi kwa mpango wa kando..😜
Wewe Kweli mwehu vipi mkapa,sumaye,warioba,hawakufikisha 60? Upuuzi mkubwaKuna code hujaijua hapo,ukioa mchaga miaka 60 hutoboi
Mkapa,bomani,warioba,sumaye hawana 60?D
uuu hii ni kweli aisee
Kama kweli vile, kwenye darasa letu chuo kulikuwa na kina mis lymo, miss massawe, ms lema, ms tarimo, ms mtei ms lyamuya na ndio walikuwa wengi.Unajua kwa nini kijana? Miaka tunakua sisi ni jamii ya kichaga tu ilikua inapeleka watoto wa kike kwa wingi shule, so ndio wanawake pekee waliokua accessible kwa vijana wanaosoma/wasomi kama hawa ambao umewataja hapa. Ilikua ni nadra sana kumkuta binti mzuri wa kinyamwezi hadi Lipumba akutane naye chuo au wa kinyiramba hadi mkumbo amkute pale jalalani, na wengine wote. Kwa sasa baada ya shule za sekondari kuongezeka miaka ya mwanzo ya 90 ndipo jamii zingine zikajaa pia vyuoni hasa kuanzia miaka ya 2000+ ndio maana sio wachaga tu wanaopata elimu ya chuo hadi wao tu ndio waolewe na wasomi, japokuwa bado kila darasa vyuo vyote ukihesabu utakuta wadada wa kichaga bado ni wengi zaidi ya jamii zingine!
Huu mtazamo wa kibaguzi na kipuuzi utaelekea jalalani muda unavyosogea na watoto wa kike wa jamii zingine wanavyozidi kupata elimu
Na alokuwa Rais wa znz Salmin Amour nafikiri na yy kaonja kilimanjaro kampiga kisawasawa na yuko mmoja mshikaji wangu kaoa mchaga akanunu nyumba mikocheni akamaundikia mke wake ,pia bibi kachukua nyumba na talaka akaomba .Fredrick Summaye
Benjamin mkapa
John Mongela
Hawa pia wameonja Kilimanjaro!!
Hapana KakaVipi mmwela umemuoa mkuu?
Kwanza mke wa mwingira ni mmeru sio mchagga. Pili sipendi ukabila1. Kwa misiba ya Karibuni ya watu maarufu hapa nchini (Mafuru na Ndugulile) nimegundua wajane wote ni toka Uchagani.
2. Hawa viumbe wananusa fursa na kujulia namna ya kukuza kipaji cha mume mpaka ngazi za juu. Tofauti na wanaume wa Uchagani wanaoshobokea Wadangaji Vyasaka wanakuja kuharibu familia na Mali za marehemu (RIP Dr Machache).
Orodha ya watu maarufu Wasio-wachaga, VYASAKA waliooa Uchagani
1. Mafuru (RIP)
2. Dr. Ndugulile (RIP)
3. Mhe. Dr Lameck Madelu Nchemba - BA Economics (Hons.) First Class, MA Economics, PhD.
4. Mhe. January Makamba (MP),
5. Prof Kitila Mkumbo (PhD),
6. Jumaa Awesso (MP),
7. Majizzo,
8. Rich Mitindo,
9. Prof Mukandala (PhD),
10. Nabii Mkuu Mwingira.
11. Dr Salmin,
12. Prof Lipumba (PhD).
**Manka Republic
kwa taarifa tu kati yawanawake wenye uvumilivu ni wachaga.Ila moto waliupata.
Kuna mmoja hapo aliwahi kupigwa na stuli ya ugoko hadi goti likateguka...[emoji23]
Kuna huyo mwingine anae fuata aliuona moto hadi akaamua kuama na kuisusia nyumba akaenda kuishi kwa mpango wa kando..[emoji12]
Kheri ya Mwaka Mpya🤣🤣🤣🤣Hiyo inaitwa penzi kunoga,mahaba Niue.....Ila wewe nitakutunza nakupenda mywangu
Hahahaha,My hakuna wakuniteka kabisa yaani ,kubwa na aman,nini wewe tu wakunitekaEeehh my wangu nani kakuteka?