Wanawake wa Kichaga wapewe maua yao!

Hata mimi nikizaliwa tena nitaoa mwanamke wa kichaga "Anakunyima Hela harafu anakuuliza Hela ziko wapi na umeingiza shilingi ngapi leo"

Yesu Mbabe sana wanastahili kwenda kuweka maua Mengii sana

Kwenye Kaburi la YESU
 
Mabinti wao,watamu sana
Hata mimi nikizaliwa tena nitaoa mwanamke wa kichaga "Anakunyima Hela harafu anakuuliza Hela ziko wapi na umeingiza shilingi ngapi leo"

Yesu Mbabe sana wanastahili kwenda kuweka maua Mengii sana

Kwenye Kaburi la Yesu kile kichapo kilikuwa kikali sana - Wana mademu wakali ingia instagram utawaona na Vipanga sana Darasani

Wana GPA 4.1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…