Wanawake wa Kichaga wapewe maua yao!

Wanawake wa Kichaga wapewe maua yao!

We nyumbu una udumavu wa akili. Kwanza huna uhakika km hao wake zao ni wachaga, pili wanawake wa kichaga ni sawa na chawa, ni mchwa wanajua kumng'ang'ania kijana watu wakiona ana greener pasture, hawana mapenzi. Wamekuja vp vipaji vya kina Mwigulu zaidi ya kumharibia nyota yake, Mwigulu hawezi kupanda zaidi ys uwaziri kisa ni nuksi ya hilo kichaga. Halafu wachaga kwanini mna inferiority complex? Kila mara kuja kujijitumua humu mpk mmechafua hili jukwaa. Mnwashwa na nini wakati tunawajua mmetoka kwenye ufukara usioelezeka.
Watu porini (Chasaka)bana watu mnachuki Sana na wachagga aisee
 
Jaji Joseph Warioba
Endrew Chenge
General Mabeyo
Nape Nnauye.
Jumaa Aweso
Andy Chenge kachukua jiko upareni. Ana makosa mengi lakini sio katika kuchagua jiko.
Hivi Ndugulile naye Ni Mkerewe?
Maana wakerewe hawapendi kuoa kwao.
Dada zao hawaoleki.
Ukinionyesha MTU maarufu ambaye sio Mkerewe au mgita aliyeoa Ukerewe na ndoa ikadumu nabadili ID
 
Back
Top Bottom