Wanawake wa Kichaga wapewe maua yao!

Wanawake wa Kichaga wapewe maua yao!

Andy Chenge kachukua jiko upareni. Ana makosa mengi lakini sio katika kuchagua jiko.
Hivi Ndugulile naye Ni Mkerewe?
Maana wakerewe hawapendi kuoa kwao.
Dada zao hawaoleki.
Ukinionyesha MTU maarufu ambaye sio Mkerewe au mgita aliyeoa Ukerewe na ndoa ikadumu nabadili ID
Kwani wakerewe wana shida gani kubwa?
 
1. Kwa misiba ya Karibuni ya watu maarufu hapa nchini (Mafuru na Ndugulile) nimegundua wajane wote ni toka Uchagani.

2. Hawa viumbe wananusa fursa na kujulia namna ya kukuza kipaji cha mume mpaka ngazi za juu. Tofauti na wanaume wa Uchagani wanaoshobokea Wadangaji wanakuja kuharibu familia na Mali za marehemu (RIP Dr Machache).

Orodha ya watu maarufu waliooa Uchagani
1. Mafuru (RIP)
2. Dr. Ndugulile (RIP)

3. Dr Lameck Madelu Nchemba (PhD),
4. Mhe. January Makamba (MP),
5. Prof Kitila Mkumbo (PhD),
6. Jumaa Awesso (MP),
7. Majizzo,
8. Rich Mitindo,
9. Prof Mukandala (PhD),
10. Nabii Mkuu Mwingira.
11. Dr Salmin
Lakini mwisho wao ni mauti ya mapema kabisa, naapa sintokuja kuoa mwanamke wa kichaga, Wala sintokuja kutongoza mwanamke wa kichaga, Bora nife masikini.
 
"Wanawake wa Kichaga Chrismass inakaribia hataki kusema ukweli kuwa analipwa mshahara mkubwa Serikalini na Malupulupu manono kila saa na siku nzima" - Muda wote ni Kazi ya ufundi tu
Au tuanze kwenye hizo kazi za ufundi atahitaji watu wa aina/tabia gani kufanya nae kazi sana sana!?
👑 Upole au Ukali
👑 Ukarimu au Ukatili
👑 Muoga au Jasiri
👑Wanaocheka au Wanaonuna
👑 Wenye Ndugu au Wasio na Ndugu
👑Wenye Fedha au Masikini
👑WafanyaBiashara au Wafanyakazi
👑 Uvivu au Uchapakazi
👑 Kufuata utaratibu uliopo au Kufuata utaratibu utakaokuja
👑Wafugaji au Wakulima
👑Wanaopenda Dini au Wapagani
👑Wanaopenda Starehe au Wasiopenda Starehe
👑Wabunifu au Wasio wabunifu
👑Wasomi au wasiosoma
Hivyo yaani
Yesu ulipigwa sijui walilidhika na ukweli uliowapa

images (3).jpeg
 
Back
Top Bottom