Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Kongole kwako druki.Nina mtoto na Mrusi na Mbulgaria.
Naona umetendea haki uumie wako kwa kweli huwezi laumiwa ama ulizwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kongole kwako druki.Nina mtoto na Mrusi na Mbulgaria.
ndo maana una nyonyo kubwaChizi kwel wewe 😀 😀 😀
Ila Wiii....😀😀😀Mmezidi mnapiga wenzenu na stuli khaaa.!! 🤣😹😹
Mimi mmakonde mdogo wangu...We ni kabila gani dada!!
Pm me Nina ujumbe wako mmakondeMimi mmakonde mdogo wangu...
Hahahahaha!!! nipe connection Mimi mda ukifika chap nimchukue.Daah comment za humu bana..kwahyo ndo kusema binti yangu mtakaza wtt wenu wasimuoe? Maana nimeolewa uchagani
Duuh utakua umekua mubaba bana..ww una 26 kama sikosei kwny uzi wako ulisema..yy ana 8...sasa mpk umri wa kuolewa duu...hahaaaHahahahaha!!! nipe connection Mimi mda ukifika chap nimchukue.
Alipoteguka ugoko,akatumia ndege yetu kwenda kutibiwa uswisiIla moto waliupata.
Kuna mmoja hapo aliwahi kupigwa na stuli ya ugoko hadi goti likateguka...😂
Kuna huyo mwingine anae fuata aliuona moto hadi akaamua kuama na kuisusia nyumba akaenda kuishi kwa mpango wa kando..😜
Kwenye msosi dawa za kisukariKuna code hujaijua hapo,ukioa mchaga miaka 60 hutoboi
Unazungumzia harusi za ukumbini na unakuja na hitimisho!Miaka ya nyuma nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni Moja iliyokuwa inashughulika na mambo ya kuaandaa harusi, nilifanya utafiti wangu nikagundua katika asilimia 100 ya harusi zinazofanyika Dar basi aslimia 70 ya wanawake wanaoolewa ni kutoka uchagani wakafatiwa na Waha asilimia 10 hizo zilizobaki ni makabila mengine
Muda si muda utapata kisukari,zaa nae,akuzekuze uonewajanja tumeoa kaskaziniii....mke wangu anarun shamba langu na tuna ngombe wa maziwa zaidi ya 120..tunavuta mpunga kimya kimya tuu
View attachment 3167418
I think Lowasa was the luckiest man kupata mke bora among politicians in Tanzania. Yule Mama wa Kirangi aisee ni mtu na nusu.1. Kwa misiba ya Karibuni ya watu maarufu hapa nchini (Mafuru na Ndugulile) nimegundua wajane wote ni toka Uchagani.
2. Hawa viumbe wananusa fursa na kujulia namna ya kukuza kipaji cha mume mpaka ngazi za juu. Tofauti na wanaume wa Uchagani wanaoshobokea Wadangaji wanakuja kuharibu familia na Mali za marehemu (RIP Dr Machache).
Orodha ya watu maarufu waliooa Uchagani
1. Mafuru (RIP)
2. Dr. Ndugulile (RIP)
3. Mhe. Dr Lameck Madelu Nchemba - BA Economics (Hons.) First Class, MA Economics, PhD.
4. Mhe. January Makamba (MP),
5. Prof Kitila Mkumbo (PhD),
6. Jumaa Awesso (MP),
7. Majizzo,
8. Rich Mitindo,
9. Prof Mukandala (PhD),
10. Nabii Mkuu Mwingira.
11. Dr Salmin,
12. Prof Lipumba (PhD).
Mrundi na si mburundiMburundi
Dah, ndiyo maana mchaga kakwama,wanakonde wanna uno bwana!!..kunja ukunjavyo uno lipo tu,mchaga akaona kiruu,naoa kabisa aseeMimi mmakonde mdogo wangu...
1. Kwa misiba ya Karibuni ya watu maarufu hapa nchini (Mafuru na Ndugulile) nimegundua wajane wote ni toka Uchagani.
2. Hawa viumbe wananusa fursa na kujulia namna ya kukuza kipaji cha mume mpaka ngazi za juu. Tofauti na wanaume wa Uchagani wanaoshobokea Wadangaji wanakuja kuharibu familia na Mali za marehemu (RIP Dr Machache).
Orodha ya watu maarufu waliooa Uchagani
1. Mafuru (RIP)
2. Dr. Ndugulile (RIP)
3. Mhe. Dr Lameck Madelu Nchemba - BA Economics (Hons.) First Class, MA Economics, PhD.
4. Mhe. January Makamba (MP),
5. Prof Kitila Mkumbo (PhD),
6. Jumaa Awesso (MP),
7. Majizzo,
8. Rich Mitindo,
9. Prof Mukandala (PhD),
10. Nabii Mkuu Mwingira.
11. Dr Salmin,
12. Prof Lipumba (PhD).
Kuna utafauti gani?!Mrundi na si mburundi