Wanawake wa Kichaga wapewe maua yao!

Miaka ya nyuma nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni Moja iliyokuwa inashughulika na mambo ya kuaandaa harusi, nilifanya utafiti wangu nikagundua katika asilimia 100 ya harusi zinazofanyika Dar basi aslimia 70 ya wanawake wanaoolewa ni kutoka uchagani wakafatiwa na Waha asilimia 10 hizo zilizobaki ni makabila mengine
 
Unazungumzia harusi za ukumbini na unakuja na hitimisho!
 
I think Lowasa was the luckiest man kupata mke bora among politicians in Tanzania. Yule Mama wa Kirangi aisee ni mtu na nusu.
Sasa mtu kama Majizo nae unahesabu Ana mke ?

Vijana wamuige Lowasa kama kioo cha familia bora

Hao wengine uliotaja hapo ni wamekula umeme na wengine among the list wanaishi kimatumaini zaidi
 
Niongeze hapo No 13.πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…