Wanawake wa Kichaga wapewe maua yao!

Wanawake wa Kichaga wapewe maua yao!

kwa sasa hawaui mwili, wanaua saikolojia na ufahamu wako kidogo kidogo.
Ni zoezi la miaka hata 10.
*Utakuja anza kujiona bila yeye wewe huwezi kitu.
*Wewe ndio mtafutaji mkubwa, lakini yeye ataoekana ndio chanzo cha mafaniko ya familia.
*wewe unatafuta mali za familia, yeye anahakikisha ana mali zake binafsi na huzijui!
 
Angalizo kama unataka kuoa Uchagani
1.Kama unategemea kupetiwa petiwa kimapenzi i love you baby au ukioga ubebwe usijaribu kuoa huko
2.Kama unategemea mapishi ya nguvu na makali ya madiko diko usijaribu kuoa huko.Ila kama ni mpenzi wa michemsho oa huko
3.Kama wewe huna ramani ya maisha na huna machungu ya maisha ni mvivu wa kufikiri na kutafuta hela kwa njia yeyote ile hata zile ambazo mtu mwingine ataona ni za aibu unataka ushefa kuvaa tai lakini mfukoni huna shillingi usijaribu kuoa kabila hilo
4.Kama wewe elimu kwako unaona ni kupoteza muda tu unawaza kuwa tajiri kwa kubahatisha usijaribu kuoa huko.

Hili kabila mmewananga sana kuwa wanaume zao wanakufa au wanawaua sikilizeni.
Tuanze na maraisi wetu wanne ambao wametangulia mbele za haki ila wake zao hadi sasa bado wapo je hao wake zao ni wachaga?.

Sikilizeni wanaume kiuhalisia wako exposed na mambo hatarishi kupunguza umri wao wa kuishi kuliko wanawake.Nitatoa mfano babu yangu mzaa mama alifariki mwaka 1968 bibi akaja fariki 1986,Babu mzaa baba yangu alifariki mwaka 1994 bibi akafariki mwaka juzi.Baba yangu alifariki mwaka 2000 mama yangu akafariki mwaka 2020 miaka 20 baadae je mama yangu alimuua baba yangu?.

Hata wewe unayesoma hapo hebu jaribu kuchunguza mwenyewe kwako au jirani angalia kwenye mababu na mabibi nani katangulia.

Wanywa pombe,wavuta sigara,bangi,madawa ya kulevya,mazingira magumu ya kikazi yote yapo kwa wanaume.

Mwanaume unakuta anafanya kazi migodini kwa mfano au kwenye viwanda vyenye sumu vyote hivi vinampata mwanaume.

Mwanamke wa kichaga ukiwa huna ramani hawezi kukuelewa wewe ukiweka mapenzi mbele yeye huko hayupo.Mwanamke wa kichaga sehemu za siri ni ajili ya kuzaa sio starehe.Na ndio maana kuna utani wanaitwa wasoma magazeti yaani mkiwa kwenye mapenzi anaweza kukuambia ukimalisa funika iache hapo hapo.

Tofauti ya wanawake wa kichaga na makabila mengine ni kwamba mwanamke wa kichaga hata bahati mbaya mume wake afariki hawana aibu na wala hawaathiriki kwenye ku fight kuongoza familia.
Nitatoa mfano mmoja kuna mama mmoja alikuwa anaitwa mama Maeda alikuwa na mabasi yanaitwa Kilimanjaro Bus ya Arusha yalikuwa yanatoka Arusha- dar na mengine Arusha -Nairobi

Bahati mbaya mumewe alikufa kwa ajali ya gari mwaka 1967 yule mama akaingia ulingoni kuongoza familia kuna wakati akiona dereva amechelewa anakamata bus anaendesha mwenyewe hadi Nairobi.Alikuwa hapendi uzembe kazini wakati mwingine dereva akileta za kuleta anamzaba vibao.
Huyu mama hata Raisi Kenyata alikuwa anafahamiana na mumewe kabla ya kufariki hata alimsaidia mkopo wa kununua hayo mabasi.Baada ya mumewe kufariki raisi Nyerere alimpatia ulinzi asinyanyasike kwa ndugu wa mumewe kuhusu mali alizoachiwa.

Baadae huyu mama akabadili biashara akafungua ma hoteli ya kitalii mojawapo ni hoteli ya kitalii ya Gold rose hapo karibu na Stadium.

Je mtasema huyu mama alimuua mumewe?
Hebu nendeni Mwanza pale Igogo angalieni nyumba nyingi unakuta wababa walishakufa siku nyingi wanawake bado wapo je mtasema waliiua wanaume?.Unakuta mumewe alikuwa mvuvi anapigwa na baridi usiku kucha ziwani unategemea ataishi mda mrefu.Unakuta mume ni Mnyantuzu wamekwenda kwenye mission za kuiba ngombe za wamasai huko kuna kifo kiko nje nje.
Mfungie mwanaume na mwanamke usiwape chakula wakwanza kufa ni mwanamme.
Wanaume tukipata shida mfano kufiwa huwa hawalii kabisa ile sumu inabaki mwilini inadhuru maisha yanakuwa mafupi ila mwanamke akifiwa atapiga makelele kulia sana sumu yote inatoka unategemea nini hapo kuhusu umri wa kuishi.

By the way hakuna kabila moja pekee linaloitwa wachaga ila humo kuna makabila mbali mbali na wengine hawaelewani kabisa ila kiukweli ndani ya hayo matabaka kuna vitabia tofauti tofauti.

Nimeweka picha hapa ya wamama wa kichaga wakiwa kazini bila kujali ushefa na hiyo picha ingine ni ya mwanaume msomi ambaye anatakiwa afanyiwe maajabu utajiri uje kwa vyovyote kwa mchaga hawatawezana.Kama wewe uko hivyo kazi kusubiri mshahara mwisho wa mwezi huwezi tafuta hela kwa njia nyingine usioe huko.
Nyie sasa mama kama huyu akifanikiwa unasema kaua mumewe acheni hizo fanyeni kazi.

Msiwe waoga oeni wachaga mkitaka maendeleo ila tu wachaga ni waoga wa kupigwa kama mna tabia ya kupiga wanawake kama ngoma na kumnyanyasa na masimango kwa kweli atakufikisha kule juu kwa sir GOD wewe kuwa mpole tu kwa mchaga ni wanawake material wa kuoa mimi sijuti maana ndio niliye naye hata nifukuzwe kazi mji unakwenda mbele kwa mbele
 

Attachments

  • manka.png
    manka.png
    988.3 KB · Views: 2
  • graduate.png
    graduate.png
    160.9 KB · Views: 5
1. Kwa misiba ya Karibuni ya watu maarufu hapa nchini (Mafuru na Ndugulile) nimegundua wajane wote ni toka Uchagani.

2. Hawa viumbe wananusa fursa na kujulia namna ya kukuza kipaji cha mume mpaka ngazi za juu. Tofauti na wanaume wa Uchagani wanaoshobokea Wadangaji Vyasaka wanakuja kuharibu familia na Mali za marehemu (RIP Dr Machache).

Orodha ya watu maarufu Wasio-wachaga, VYASAKA waliooa Uchagani
1. Mafuru (RIP)
2. Dr. Ndugulile (RIP)

3. Mhe. Dr Lameck Madelu Nchemba - BA Economics (Hons.) First Class, MA Economics, PhD.
4. Mhe. January Makamba (MP),
5. Prof Kitila Mkumbo (PhD),
6. Jumaa Awesso (MP),
7. Majizzo,
8. Rich Mitindo,
9. Prof Mukandala (PhD),
10. Nabii Mkuu Mwingira.
11. Dr Salmin,
12. Prof Lipumba (PhD).

**Manka Republic
Na miguu yao myembambakama fimbo za pulltable.
 
😂😂😂
Nipo fresh.
Zamani hata hizp sifa kidogo hazikuwepo, ni hatua nzuri

Mjitahidi jikoni sasa
Tulialikwa na dada mmoja kwake tukale lunch(pilau mbuzi), kufika dining dada mtu tukasikia analia "..kiruuu yesu wangu, kekuu ndio umepika nini hii.."

Kekuu katoa pilau kama makande, kachumbari kama amekata na msumeno. Kekuu alitisha sana😂
😂😂😂😂😂😂
Nimecheka..! Bro bhaana, tunajitahidi siku hizi kuwa serious kidogo hatutowaangusha kabisa msiogope..!!

sahii nimekaa karibu na International Chef wangu Aaliyyah nipo mikono salama kabisa..!!
 
kwa sasa hawaui mwili, wanaua saikolojia na ufahamu wako kidogo kidogo.
Ni zoezi la miaka hata 10.
*Utakuja anza kujiona bila yeye wewe huwezi kitu.
*Wewe ndio mtafutaji mkubwa, lakini yeye ataoekana ndio chanzo cha mafaniko ya familia.
*wewe unatafuta mali za familia, yeye anahakikisha ana mali zake binafsi na huzijui!
Tunayozungumza kuna wataoona tunasema uongo ila ni ukwel mtupu.
 
Back
Top Bottom