Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Sawa ww uliesoma unajua mpaka "Sred"
Haya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa ww uliesoma unajua mpaka "Sred"
Nimekupenda bureSijapendezwa kabisa na uzi huu. Huwa nakasirika na kusikitishwa sana mtu anapomkejeli mtu kutokana na maumbile yake ya asili Mungu aliyomjalia. Binadamu tumeumbwa tofauti wengine warefu, wafupi, weusi, weupe, walemavu, wanawake, wanaume, nk na tunatofautiana kutoka sehemu moja hadi nyingine kulingana na asili au mazingira aliyotuweka Mungu au tunayoishi tukiwa na tamaduni tofauti.
Kwa ufupi hakuna mtu aliyechagua kuwa jinsi alivyo. Sasa wewe unapomcheka nwenzako ulitaka afanyeje wakati siye yeye aliyeamua kuwa hivyo?! Ni jambo baya sana kuwacheka watu mara mseme wanawake wa kichagga hawana matako makubwa nk. Hivyo ndivyo Mungu alivyoamua sasa wafanyeje?
Kejeli zenu ndizo zimesababisha wanawake kuhangaika na madawa ya kuongeza makalio, kubadili rangi ya ngozi, kope nk mbaya wakiathirika mnaanza kuwacheka tena! Acheni Mungu aitwe Mungu kila Moja aheshimu mwenzake jinsi alivyoumbwa!
Sent using Jamii Forums mobile app
hebu weka sura ya mamako na dada zako tuone kama wanavyo vyoteWanawake wa kigogoo mmemkosea nini Mungu?
Si sura, si chura,
Mpk mc pilipili kakimbua hukoo
Sent using Jamii Forums mobile app