Wanataka wakampige mawe shetaniwaombe mitaji, ikikua wataenda hija.
Hija ni kwa mwenye uwezo, sio kila muislam, unaenda hija mil. 10, huku nyuma hata kiwanja huna. nonsense
Udini na utegemezi vya hovyoWakuu kama title inavyojieleza hapo, ndugu zetu katika imaan wanaomba ufadhili wa rais Samia ili watekeleze ibada ya Umra na Hija.
================
Wanawake wa Kiislamu nchini wamemuomba Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuanzisha mpango wa ufadhili kwa Wanawake wenye hali duni ili waweze kwenda Hija na Umrah kila mwaka, kulingana na idadi atakayoridhia. Ombi hili linatokana na changamoto ya gharama kubwa zinazowazuia wengi kutimiza ibada hii muhimu ya Kiislamu.
Akizungumza leo, Machi 26, 2025, katika kongamano la Ladies In Islam Event lililofanyika jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na zaidi ya wanawake 1,000, Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Ladies In Islam, Salha Aziz, alisema:
"Wanawake wa Kiislamu tunakabiliwa na changamoto ya fursa chache za kwenda Hija na Umrah. Wengi wanashindwa kutimiza nguzo hii ya Uislamu kwa sababu ya hali ngumu ya maisha na kipato duni. Tunamuomba Mh. Rais afadhili Wanawake wa Kiislamu wenye hali duni kwenda Hija na Umrah kila mwaka kulingana na idadi atakayoturidhia. Hili litawapa fursa Wanawake ambao hawawezi kumudu gharama za ibada hii muhimu kufanikisha wajibu wao wa kidini."
Salha Aziz pia aliomba serikali kusaidia taasisi yao kwa kuwapatia eneo la kudumu kwa ajili ya ofisi zao, iwe kupitia nyumba za TBA au NHC, ili waweze kutekeleza shughuli zao kwa ufanisi zaidi.
Mgeni rasmi wa kongamano hilo alikuwa Katibu Mkuu Kiongozi wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Eng. Zena Said Ahmed, aliyemwakilisha Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Taasisi ya Ladies In Islam, iliyoanzishwa mwaka 2021, inalenga kuwawezesha Wanawake wa Kiislamu katika nyanja za elimu, uchumi, na dini kupitia vikao vya mafunzo, ujasiriamali, misaada kwa wahitaji, na maendeleo ya jamii. Mwaka huu, kongamano lao la tano limeangazia zaidi nafasi ya Wanawake wa Kiislamu katika uongozi na maendeleo
akili musina, sijui ni kwa nini once unakuwa wa imani hiyo utaishia kuomba msaada wa ajabu ajabu. Kwani kuna ulazima wa kwenda?Badala ya kumuomba awajengee hospital kubwa ya kiislam ya uzazi na kutibu magonjwa ya wanawake, ila wao wanamuomba kwenda kupeleka mahela nje na kufaidisha nchi ya saudia arabia
Ama wangeomba awajengee kiwanda cha uzalishaji cha wanawake wa kiislamu tu ili wao wapate ajira
Hakika tunapoelekea sio kuzuri, yani mtu aanzishe jumuiya ya kidini kisa Rais wa nchi ni wa dini hiyo basi mnataka awape na uwezeshaji wa kifedha je akiondika na akaingia Mgalatia/Kafir akaamua kusitisha huo mpango si mtaleta majambia barabarani?Wakuu kama title inavyojieleza hapo, ndugu zetu katika imaan wanaomba ufadhili wa rais Samia ili watekeleze ibada ya Umra na Hija.
================
Wanawake wa Kiislamu nchini wamemuomba Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuanzisha mpango wa ufadhili kwa Wanawake wenye hali duni ili waweze kwenda Hija na Umrah kila mwaka, kulingana na idadi atakayoridhia. Ombi hili linatokana na changamoto ya gharama kubwa zinazowazuia wengi kutimiza ibada hii muhimu ya Kiislamu.
Akizungumza leo, Machi 26, 2025, katika kongamano la Ladies In Islam Event lililofanyika jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na zaidi ya wanawake 1,000, Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Ladies In Islam, Salha Aziz, alisema:
"Wanawake wa Kiislamu tunakabiliwa na changamoto ya fursa chache za kwenda Hija na Umrah. Wengi wanashindwa kutimiza nguzo hii ya Uislamu kwa sababu ya hali ngumu ya maisha na kipato duni. Tunamuomba Mh. Rais afadhili Wanawake wa Kiislamu wenye hali duni kwenda Hija na Umrah kila mwaka kulingana na idadi atakayoturidhia. Hili litawapa fursa Wanawake ambao hawawezi kumudu gharama za ibada hii muhimu kufanikisha wajibu wao wa kidini."
Salha Aziz pia aliomba serikali kusaidia taasisi yao kwa kuwapatia eneo la kudumu kwa ajili ya ofisi zao, iwe kupitia nyumba za TBA au NHC, ili waweze kutekeleza shughuli zao kwa ufanisi zaidi.
Mgeni rasmi wa kongamano hilo alikuwa Katibu Mkuu Kiongozi wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Eng. Zena Said Ahmed, aliyemwakilisha Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Taasisi ya Ladies In Islam, iliyoanzishwa mwaka 2021, inalenga kuwawezesha Wanawake wa Kiislamu katika nyanja za elimu, uchumi, na dini kupitia vikao vya mafunzo, ujasiriamali, misaada kwa wahitaji, na maendeleo ya jamii. Mwaka huu, kongamano lao la tano limeangazia zaidi nafasi ya Wanawake wa Kiislamu katika uongozi na maendeleo
Taasisi ya Ladies In Islam, iliyoanzishwa mwaka 2021, inalenga kuwawezesha Wanawake wa Kiislamu katika nyanja za elimu, uchumi, na dini kupitia vikao vya mafunzo, ujasiriamali, misaada kwa wahitaji, na maendeleo ya jamii. Mwaka huu, kongamano lao la tano limeangazia zaidi nafasi ya Wanawake wa Kiislamu katika uongozi na maendeleoWakuu kama title inavyojieleza hapo, ndugu zetu katika imaan wanaomba ufadhili wa rais Samia ili watekeleze ibada ya Umra na Hija.