Wanawake wa Kiislam Wamuomba Rais Samia Ufadhili wa Umra na Hija

Awamu ya sita! Sitakaa niisahau!
 
Serikali iache kujiingiza kwenye mambo ya dini.
 
Kwaiyo kumbe kuna hospital za waislamu siku hizi na hatujui why wasiombe wapewe mitaji wazalishe wakijipata kisha waende huko Kuhiji
 
ndio zipo hospital zinazomilikiwa na taasisi za waislam
Kwanini usiseme ajenga kwa umma ila sio dini maan hata wakristu wanazo zao lakin ni za umma je kila raisi akiingia wa dini tofaut ajenge hospital za dini hapan tengua hiyo koment ni kind of rascim
 
Badala waombe Mitaji ya Biashara wanaomba Kwenda Kufanya Vitu vya Kijinga vya Culture ya wengine huko Arabuni, Ovyo kabisa
 
wanadeka sana ******* hawa
 
Nilichojifunza duniani kila mtu na kipaumbele chake. Cha muhimu kila mtu aheshimu kipaumbele cha mwenzake. Tatizo ni pale mmoja anaona kipaumbele chake ni bora na yeye anastahili zaidi ya mwenzake.
 
Nilichojifunza duniani kila mtu na kipaumbele chake. Cha muhimu kila mtu aheahimu kipaumbele cha mwenzake. Tatizo ni pale mmoja anaona kipaumbele chake ni bora na yeye anastahili zaidi ya mwenzake.
Hio hija sijui Umra Ni Vitu vya Kitalii, Mtu ajiandae Kifedha mwenyewe ndio akafanye Huo utalii, Kitendo cha wao Kumuomba Rais Hela ambayo tunajua akikubali hio hela ni yetu walipa kodi ndio itatumika itakuwa ni Ujuha.
 
Hawa ndio wakifika kaaba watamwombea mitano tena kama ostaaz mwija
 
Hijja kwa mwenye uwezo sasa kuomba omba siyo sheria yake hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…