Wanawake wa Kinyakyusa

Status
Not open for further replies.
Mkuu thibitisha madharau yangu kwa watu wa mbeya'soma vizuri pale juu'nimezaa nao'mimi ni mkwe mbeya'kusema hawajui kukataa ni uongo?au thibitisha kuhusu guest bubu za bei rahisi'nimekaa pale mbeya sana mkuu'usinisome sivyo

Sio wote! Ila wengi HAWAWEZI kukataa. Wao kugawa ni kitu cha kawaida. Kwa yeyote. Si shemeji, binamu, rafiki au yeyote yule!
Nasemea uzoefu.
 

hili lina ukweli fulani, i had a frnd with such character, mgomvi,mbea,mbinafsi,wakujistukia na mshari balaa, halafu hawajiamini
 
Hawana msamiati "hapana/sitaki". Makaka mia na kidogo. Kila mtu wa Mbeya ni ndugu yake.
Ukioa umeolea watu. Sina hamu nao.
 
Haha hatufanyi hako kamtindo mkuu unatuonea wanawake wa kinyakyu
 
hahaaa...akaoge na magadi ...INA maana ana nuksi au ""?
 
proud kyusa hata msemeje,na hakuna madem wanajiheshimu na kuchakarika tz km kyusa.kaoe mchaga au mrangi ujute kuzaliwa
mambo ya zamani hayo,zama zimebadilika.Mbona ndugu yangu kaoa MRANGI maisha mazuri ndoa ina miaka 12?
 
Wanawake wakinyakyusa wana ndevu sijajua kama ni Genetic ama vipi?
 
hahaaaa hahaa
 
daaahh "" nimefuatilia mjadala...wewe igwe unaubishi wa asili "" aisee.." muungwana huwa anakubali mapungufu yake na kuangalia alipojikwaa ili kama kuna kisiki aking'oe " siku zijazo akijakupita hapo asiweze kujikwaa tena ...inamaana watu wrote waliotoa shuhuda zao Humu wana wasingizia ”? niwachache mnoo waliotoa shuhuda zao ambazo zinawasifu dhidi yenu" wengi mnooo"" wamesema kuwa mnatabia " ovu "
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…