mimi wanangu hawana kabila ,kwani hiyo mixed grill ya makabila kwa upande wa mama yao ni balaa tupu hata mimi mimi wazazi wangu ni mseto usipime lakini nimechagua kuwa Mwalafyale badala ya kuwa ShirimaKwa hili upo sahihi kabisa!
kwan nimekataa wanaume wasiwe kichwa cha nyumba?
unless othwise unambie AUJANIELEWA NIMEMAANISHA NINI JUU YA UDUMELISM...thats wanaume wa kinyakyusa wanapenda sana udumelism..
46 huyu nilenae wa 91 na sitoishia hapo@okada
Hivi wanawake wanaoponda sana wenzao ni kabila gani vile?wanapenda kujibust
kujiona wao ndo wao
wanajua kila kitu
wanataka waongoze kwa kila sekta
kujifanya wamjiniiii kumbe mweeeeeeeeeeeee katoka kyela jana
Mkuu thibitisha madharau yangu kwa watu wa mbeya'soma vizuri pale juu'nimezaa nao'mimi ni mkwe mbeya'kusema hawajui kukataa ni uongo?au thibitisha kuhusu guest bubu za bei rahisi'nimekaa pale mbeya sana mkuu'usinisome sivyo
UDEMELISM maana yake ni: imani ya kwamba PEDI ni kwa ajili ya wanawake,umezoe mwanaume unaoshare naye PEDI eeh,sio wa kinyakyusa...
Nijuavyo mimi ni kuwa ukiacha mambo mengine yote yawe constant(ceteris peribus), mwanamke wa Kinyakyusa akikupenda anaweza akawa anakununulia vitochi kila siku kama mpo kijijini!...
Wana Ukarimu na upendo wa dhati na huruma nyingi(hata kama ni ya kuchonga!)...kama mpo mjini anaweza akakufadhili kuishi kwake bure hata mwezi mzima, kisha baada ya hapo tafuta kazi msaidiane kulipa pango!...
In general, ni wapole, ila maisha ya kisasa yanamuathiri kila mtu jamani, tuwe wakweli!
Kwa miaka hii huwezi kupata hata 60%purity ya kabila lolote lile tanzania kutokana na miingiliano ya makabila na mbadiliko ya maisha! mTUakiongelea kabila, basi afanye reference ya miaka ya 80 kushuka chini!
Nawasilisha!
momumo mwalafyale........baleke bajobege_bobali nkamu
Me luv them...
Naloli fijo nyambala
NO NO NOOOOOOOOOP!"Niangusage weeee! Si sambi sako mwenyewe!! Nikubali useme mi malaya ...niangusage weeee" hizo ndo swaga zao.
Kusema kweli hawa jirani zangu ni wakarimu sana na wana tabia nzuri.
Mapungufu waliyonayo ni ya kawaida ambayo kila binadamu anayo..
Inatakiwa mtu kabla hujaanza kuchangia una declare interest maana wengine hata makabila yenu mnaogopa kutaja,afu mseme kwenu mlienda mara ya mwisho lini. Na kwa uliyeuliza swali tabia inategemea na mtu,kuna wanawake wanyakyusa wana tabia nzuri wengine mbaya,so kama unataka kuoa mchunguze kwanza.
Mimi ni nyakyusa 100%
Alafu kitandani km magogo wagumu hao !
dah!haya bana......