Nijuavyo mimi ni kuwa ukiacha mambo mengine yote yawe constant(ceteris peribus), mwanamke wa Kinyakyusa akikupenda anaweza akawa anakununulia vitochi kila siku kama mpo kijijini!...
Wana Ukarimu na upendo wa dhati na huruma nyingi(hata kama ni ya kuchonga!)...kama mpo mjini anaweza akakufadhili kuishi kwake bure hata mwezi mzima, kisha baada ya hapo tafuta kazi msaidiane kulipa pango!...
In general, ni wapole, ila maisha ya kisasa yanamuathiri kila mtu jamani, tuwe wakweli!
Kwa miaka hii huwezi kupata hata 60%purity ya kabila lolote lile tanzania kutokana na miingiliano ya makabila na mbadiliko ya maisha! mTUakiongelea kabila, basi afanye reference ya miaka ya 80 kushuka chini!
Nawasilisha!