Muwe mnaombea vyakula vyenu! Mara nyingi bora uwe eneo la tukio unazuga kama humuamini muandaaji tu! Haya mambo si mchezo aisee! Nazidi kuogopa😱
Wengi hatujui kuomba ila ipo namna! Ukiomba ufundishwe kuomba unaomba vizuri tu!Maombi pia yanangukia palepale pasipo na definition, kwa mfano nani anajua tunavyoomba ndivyo inavyotakiwa?
Wengi hatujui kuomba ila ipo namna! Ukiomba ufundishwe kuomba unaomba vizuri tu!
sawaNa wasukuma
Kuna umasikini wa kutosha tu uchaganitia neno
Huo sasa ndiyo UFALA wenyewehahaha unachosema ni sahihi
Aanh mkuu mimi sio mchungaji mimi ni muumini tu🤣Huyo anayefundisha anajuaje ndio yesu alisema iwe hivyo?
Aanh mkuu mimi sio mchungaji mimi ni muumini tu🤣
Hatuna budi kuyameza, imani ndio imetufikisha hapo! Imagine unaomba kitu na kinatokea, utaacha kuamini?Najua ndio maana tunaenda hatua kwa hatua kwenye ukweli japo tumemezeshwa na kukaririshwa mambo mengi sana!
Hatuna budi kuyameza, imani ndio imetufikisha hapo! Imagine unaomba kitu na kinatokea, utaacha kuamini?
Hata ushirikina wenyewe hawana ni stori tu za kuwachafuaKwenye ushirikina sawa ila kwenye uvivu hapana. Wanawake wa kinyamwezi wanapiga kazi sana
Lets say unaumwa tumbo then ulishike uombe liache hapohapo utasemaje? Au unaombea kufaulu jambo fulani ambalo unajua ni gumu sana kwa uwezo wako! Ukapambana kulipmbea sana! Ukalivuka unaweza kuiitaje hii?Unajuaje kwamba kilitokea kwa kuwa uliomba? Kwamba usingeomba kisingetokea?
Lets say unaumwa tumbo then ulishike uombe liache hapohapo utasemaje? Au unaombea kufaulu jambo fulani ambalo unajua ni gumu sana kwa uwezo wako! Ukapambana kulipmbea sana! Ukalivuka unaweza kuiitaje hii?
Nathibitishaje wakati sijatumia njia nyinyine tofauti ha hiyo! Mfano una njaa, ukanunua mandazi na ugali, ukachagua kula maandazi, halafu mtu akuulize unathubitishaje maandazi ndio yameondoa hiyo njaa yako?Issue kwa kwamba unathibitishaje ni huo mshiko ndo umetibu, na sio kitu kingine? Na huko kufaulu unaprove vipi ni hayo maombi na sio uwezo wako uliokuwa una mashaka nao awali? Na unajuaje hilo jambo uliloliombea lilikua gumu kabla hujalifanya?
Ninaamini tu, na sio ishu ya ujuaji! Mfano kipindi niko chuo kuna somo la falsafa nilikuwa nasoma linaitwa critical thinking, kwa hpande wangu nililiona ni gumu sana! Kuna formula zilikuwa zinaletwa mpaka nasema nini hiki lakini! Nikasoma kwa uwezo wangu ulipoishia nikamshirikisha na Mungu kwa maombi sio ya kawaida! Nilivuka, mtihani ulikuwa mgumu sana lakini sio kwa uwezo wangu tu!Na kabla hujaliombea? Unajuaje kwamba ulivuka kwa hayo maombi, na sio uwezo wako wa kulipush kwa mtazao wa kwamba ni gumu ukaandaa akili yako huku unaomba na ukavuka kwa kuwa "wala" halikua gumu ilikua ni perception yako kabla hujalivamia kulifanya?
Sijui wana shida gani?Nilishangaa kuona wanaume wanaamini katika limbwata pia, kiufupi hawaamini mapenzi yanaweza kwenda pasipo kupuliza
Udugu yani wewe hata useme unampenda na ukamuonyesha vitendo haamini mpaka akupulizie..!! 😹😂😂😂😂
Wanyamwezi ni wasukuma waliochangamka.wasukuma nao wako kapu Moja na hao wanyamwezi