Huwajui wanyamwezi... Usiwafananishe na wasukuma!! Wanyamwezi NI wavivuuuuuMhm mbona kama wanyamwezi ni wachapa kazi mkuu? Hiyo si jamii ya kisukuma ?
SawaHuwajui wanyamwezi... Usiwafananishe na wasukuma!! Wanyamwezi NI wavivuuuuu
Kwanini sasa? πππUdugu yani wewe hata useme unampenda na ukamuonyesha vitendo haamini mpaka akupulizie..!! πΉ
Wamakonde si km wayao tuWamakonde je?
Wayao wanapatikana maeneo gani hapo Ruvuma?Wamakonde si km wayao tu
Tunduru.Wayao wanapatikana maeneo gani hapo Ruvuma?
Si hawaamini kupendana bila ndumba..! πΉKwanini sasa? πππ