wanawake wengi hampendi Ndugu za wanaume,akija tuu mnaanza kununa, tabia kubadilika mpaka mgeni aondoke
Anangoja umuoe!
Mke na mchumba vitu viwili tofauti broMchumba wangu ni mpare wa muda mrefu sijaona tabia zozote mbaya kama zinazotajwa hapa mfano wanapenda sana kugongwa nje, xtreme ubahili, chuki kwa upande wa mume etc. More elaboration please:yell::nod:
Mkuu endelea na mChumbaako acha kusikiliza wazushi hapa, hizo tabia alizoeleza mkuu hapo juu inategemea sio kua kila mpare anahio tabia, kinachofanya wanawake wa kipare waonekane wabaya ni kuwa wachumi zaidi yaani wanamikakati na mipangilio mingi ya kuendeleza familia kwa umakini wa hali ya juu,kwahio wanakua na bajeti sana ktk matumizi yao hivyo kuonekana wabahili na wenye roho mbaya wasiopenda ndugu wa mume,Mchumba wangu ni mpare wa muda mrefu sijaona tabia zozote mbaya kama zinazotajwa hapa mfano wanapenda sana kugongwa nje, xtreme ubahili, chuki kwa upande wa mume etc. More elaboration please:yell::nod:
Hiyo ni sawa hata kwa dada au mama zetu. Jinsi ya kufanya ni sie kuanza kuwachukia ndugu za wake zetu (jino kwa jino) ili kama noma na iwe noma. Tukifika hapo ngoma droo, familia itakuwa baba, mama na watoto tu (uhuru wa mwanadamu)wanawake wengi hampendi Ndugu za wanaume,akija tuu mnaanza kununa, tabia kubadilika mpaka mgeni aondoke
Mke na mchumba vitu viwili tofauti bro
hekima ya Kimungu iko ndani yako MamaTabia ya mwanamke haiangaliw kwa kabila analotokea,mkoa wala dini ,kama ilivyo kwa wanaume pia,ishu inakuja hivi unapomwangalia mwanamke kwa kabila au ukoo au mkoa anaotokea unakua humtendei haki,angalia vitu unavyotaka wewe je anavyo kwani unaweza ukamuangalia kwa hilo kabila lake kumbe sivyo alivyo.
Namanisha Mchumba huficha makucha yake lakini mke hukunjua makucha bro. Ni vigumu kujua tabia kutoka kwa mchumba. Kuhusu kabila ni kweli maana tunajifunza kwa kuzoea kuona. Wazungu husema 'vaolensye parentisi produsi vaolensye fyucha parentisi'. Hivyo kama mama ana kidumu jua mtoto wa kike atajua kuwa ni jambo la kawaida kuwa na kidumu. Hata yeye akiolewa kidumu mtindo mmoja. Hivyo taratibu mipangilio ya kabila fulani huwa inarithishwa. Kwa mantiki hii kabila halina nafasi iwapo vizazi kama viwili au vitatu vitazaliwa nje ya hilo kabila.topic haisemi mke inasema wanawake
Hiyo ni sawa hata kwa dada au mama zetu. Jinsi ya kufanya ni sie kuanza kuwachukia ndugu za wake zetu (jino kwa jino) ili kama noma na iwe noma. Tukifika hapo ngoma droo, familia itakuwa baba, mama na watoto tu (uhuru wa mwanadamu)
Acha non-sense wewe,umefanya uchunguzi wapare ndo kabila lenye watu wafup zaid? Asilimia kubwa yawengi wana roho mbaya....
nature yao ni wafupi. sasa chukua matatizo ya watu wafupi + roho mbaya= wapare
wanapenda kupigwa nje sana....take care...
To be honest...
Wanawake wa Kipare nadhani wanafaa kuolewa na Wapare wenzao...
Sababu ya kusema hivyo ni vile my cuzn bro na baba mkubwa wameoa huko...
Huwa nawaona ni watu wenye ubinafsi sana na huwa hawapendi ndugu wa mwanaume...
Imefika mahali huyu mke wa baba mkubwa hataki kabisa kusikia mumewe kaenda kijijini kuwatembelea wazzi wake(bibi na babu yetu)...
Tabia kama hizo pia zaoneshwa na shemeji yetu...ni mengi ya kuyaandika lakini binafsi bado naamini Wapare waolewe na wapare wenzao labda wanawezana...
Hodi hodi wanabodi kwa mara ya kwanza najitokeza kwenye jamvi nikiomba maoni yunu kuhusu tabia za wanawake wa kipare na taratibu zao ukitaka kumwoa taratibu za mahari zinakuwaje? Nawasilisha!
niko location yangu...karibu...he he.......wewe umejichimbia wapi......
Hodi hodi wanabodi kwa mara ya kwanza najitokeza kwenye jamvi nikiomba maoni yunu kuhusu tabia za wanawake wa kipare na taratibu zao ukitaka kumwoa taratibu za mahari zinakuwaje? Nawasilisha!
KhaaahJiandae kufunga kiuno motor .......................................!:ballchain: