wanawake wa kipare

wanawake wa kipare

usichunguze kuku hutomla....kwa wachache niliowahi waona wanaubinafsi hawapendi ndugu wa mume lakini ndugu zake watapishana hm
 
Akili za kuambiwa changanya na zako.....hata hao wapare wako wa usangi na same, na kila kundi linaa tabia zake, ni vyema mnapowachambua mzingatie hilo pia. Kwa ufupi wapare wa same ninao wajua hasa same mashariki hawana shida na mtu, si wachoyo, ni wacha Mungu walio wengi. Madhaifu yapo kama kama kawaida ilivyo kwa wanadamu...ila hakuna kitu special hasa kwenye ubaya wao ambacho kwingine hakipo
 
Ingia ucheze ngoma halafu utajionea nadhani ndio jibu sahihi,maana kwa sasa hatuwezi jua umempenda kwa kiasi gani na wewe ndio unae ishi nae,mimi nadhani ndio ushauri wangu kwa uelewa mdogo nilionao !
 
To be honest...
Wanawake wa Kipare nadhani wanafaa kuolewa na Wapare wenzao...
Sababu ya kusema hivyo ni vile my cuzn bro na baba mkubwa wameoa huko...
Huwa nawaona ni watu wenye ubinafsi sana na huwa hawapendi ndugu wa mwanaume...
Imefika mahali huyu mke wa baba mkubwa hataki kabisa kusikia mumewe kaenda kijijini kuwatembelea wazzi wake(bibi na babu yetu)...
Tabia kama hizo pia zaoneshwa na shemeji yetu...ni mengi ya kuyaandika lakini binafsi bado naamini Wapare waolewe na wapare wenzao labda wanawezana...

Kaka si wapare tu hii inaweza kuapply kwenye kila kabila, ni vyema waoane wenyewe. Hebu angalia mifano hii michache:

1. Kuoa mwanamke mzaramo; je unafikiri ni rahisi akikuaga anaenda ngomani na uilhali unajua yanayotokea huko? akitaka kumcheza ngoma mwanao wa kike utavumilia? unahisi anaweza kukushawishi kwamba ni mwaminifu?

2. Wahaya; unahisi utakuwa na amani wakati hujawahi hata siku moja kumfanya amwage maji? na mbaya zaidi hujui kama ashawahi ku-experience hiyo makitu? Je huoni kama hawa inafaa pia waoane wenyewe? Pia ukizingatia karibu kila mkoa kuna mtaa wa wanawake wa Kihaya wanajiuza?

3. Je, Wanyaturu? Warangi? Wamakonde? Wamachame? ......

Nashauri si vyema sana ku generalize kabila flani kisa tu kuna unayemfahamu au kundi flani la watu ukasema ni wote. Pamoja na mapungufu ya kila kabila bado kuna wanawake wenye sifa za kuwa wake waaminifu, wenye upendo na wavumilivu na wenye uwezo wa kujenga familia zenye furaha.
 
To be honest...
Wanawake wa Kipare nadhani wanafaa kuolewa na Wapare wenzao...
Sababu ya kusema hivyo ni vile my cuzn bro na baba mkubwa wameoa huko...
Huwa nawaona ni watu wenye ubinafsi sana na huwa hawapendi ndugu wa mwanaume...
Imefika mahali huyu mke wa baba mkubwa hataki kabisa kusikia mumewe kaenda kijijini kuwatembelea wazzi wake(bibi na babu yetu)...
Tabia kama hizo pia zaoneshwa na shemeji yetu...ni mengi ya kuyaandika lakini binafsi bado naamini Wapare waolewe na wapare wenzao labda wanawezana...

Jamaa mmoja alioa mpare, hivo huyo mwanamke alikuwa hataki kwenda kijijini kwa mumewe ila kwake na ndugu zake ndio upenda. Wengi wapo hivo, na wamethamini mali kuliko mume. Na wanapenda kugawa penzi kila kona.
Waongo akikuambia kaka yake, basi jua bwana wake.
Wanapenda kutongozana kilugha,wake kwa waume jadi yao kugawa penzi hovyo.

Natumaini wasasa wamebadilika
 
Akili za kuambiwa changanya na zako.....hata hao wapare wako wa usangi na same, na kila kundi linaa tabia zake, ni vyema mnapowachambua mzingatie hilo pia. Kwa ufupi wapare wa same ninao wajua hasa same mashariki hawana shida na mtu, si wachoyo, ni wacha Mungu walio wengi. Madhaifu yapo kama kama kawaida ilivyo kwa wanadamu...ila hakuna kitu special hasa kwenye ubaya wao ambacho kwingine hakipo

m'bora nawe ufuma hiyoo?hao ena theja kadori kana?
 
Ni kweli wanawake wa kipare hawatofzutiani sana na wale wa konyakusa, wengi wao co wachoyo kugawa uroda nje ya ndoa!

Naongea hayo kwa uzoefu sana coz wapare ni mama zangu wa damu na wanyaki nimeishi nao muda mwingi katika utuuzima wangu!

ila tabia hizi wengi wanazo hata wasio wapare na wapo wapare tulivu pia so cha muhimu we muowaji unatakiwa kitulia usije ambulia GALASA
 
m'bora nawe ufuma hiyoo?hao ena theja kadori kana?

Hahaha hela rumburya iki ava vayao vaamua kutukkaesia kikao na kuete vintu vyavo vyesiho kabisa, kana uu mwiyao Eli79 hena kantu amanje kuhusu ii mburi yegawa aha
 
Last edited by a moderator:
Akili za kuambiwa changanya na zako.....hata hao wapare wako wa usangi na same, na kila kundi linaa tabia zake, ni vyema mnapowachambua mzingatie hilo pia. Kwa ufupi wapare wa same ninao wajua hasa same mashariki hawana shida na mtu, si wachoyo, ni wacha Mungu walio wengi. Madhaifu yapo kama kama kawaida ilivyo kwa wanadamu...ila hakuna kitu special hasa kwenye ubaya wao ambacho kwingine hakipo

Aloooh! Tehena mburii!!
 
Hodi hodi wanabodi kwa mara ya kwanza najitokeza kwenye jamvi nikiomba maoni yunu kuhusu tabia za wanawake wa kipare na taratibu zao ukitaka kumwoa taratibu za mahari zinakuwaje? Nawasilisha!

Aisee...... waukweli sana hao, owa bwana.....wengine tunawatafuta sana hao lakini hatuwapati mzee, kama umeona katulia, wewe jichukulie bwana......bahati hiyo mkuu.
 
Wapo wanaopenda kutawala waume zao,hasa wa koo ya wagonja; niliambiwa na nilipooa nikashuhudia ukweli wake. Wapo wapenda maneno /ugomvi . Wapo wavivu ambao kwao wanaaminika kuwa wana mkosi na hivyo wenyeji huwakimbia japo uchunguzi umeonesha ni suala la uvivu. Wapo wasiowaaminifu na mafundisho ya mila zao yanachangia kwani mume arudipo nyumbani asipofunguliwa mlango baada ya kubisha hodi anashauriwa aende nyumba ya jirani au pembeni kwa muda kasha arudi baadae kuepusha shari. Wapo waliobobea kwenye kujiona bora na kudharau by nature.Zipo koo ambazo mke anabakia na sehemu kubwa kwao kiasi cha jamii yake kuingilia mambo yenu ya ndani na hata kuwatenganisha kwa maslahi yao. Hata hivyo, hakuna sifa za kabila 100%. Kutoonesha tabia kinzani kwa sasa si ajabu kwa wachumba wengi na tarajia mabadiliko japo kidogo toka kwa huyo unayetaka kumwoa bila ya kujali kabila lake.
 
Hodi hodi wanabodi kwa mara ya kwanza najitokeza kwenye jamvi nikiomba maoni yunu kuhusu tabia za wanawake wa kipare na taratibu zao ukitaka kumwoa taratibu za mahari zinakuwaje? Nawasilisha!

mh!? Wengi wameng'oa batani hao.
 
Hahaha hela rumburya iki ava vayao vaamua kutukkaesia kikao na kuete vintu vyavo vyesiho kabisa, kana uu mwiyao Eli79 hena kantu amanje kuhusu ii mburi yegawa aha
Mrembo by Nature ava vantu vetuteta uvivi kangi tevena shima neri. Hanini vetudharau huo. Mira wanitwaa nguma ambu ii mburi nami naraikicha aha. Kangi vaire iti nivakundie varumburya vangu na sienda vekigaywa uvivi
 
Last edited by a moderator:
Ingawa kabila halihusiani sana na tabia ya mtu lakini jamii inaangalia majority ya hilo kabila wako vipi na wanafanya nini..then watu wana conclude kuwa hiyo ni tabia ya kabila zima kwa kutumia ule msemo kwamba samaki mmoja akioza basi ujue ni wote wameoza..mfano kwenye madanguro mengi sana wengi wao ni WAHAYA basi inakuwa rahisi ku conclude kuwa WAHAYA ni MALAYA/MACHANGUDOA sifa ambayo kijamii si nzuri..ukija kwa ndugu zetu wa IRINGA wengi wao ni Mahouse girl na WACHAGA wengi ni watu wa Biashara....Tukija kwa WAPARE na mimi nikiwa kama mpare si shauri kabila lingine kuoa mpare kwa sababu wanawake wa kipare wanatabia ya ubinafsi, majungu, uchoyo, roho mbaya na kubwa zaidi kutowapenda ndugu wa mume...kibaya zaidi mwanamke wa kipare anachukulia ndoa ni kama sehemu ya kuchuma..kwa huku kijijini unaweza ukamuona binti miezi 8 baada ya ndoa utamuona anaanza ujenzi kwao sasa unashangaa huyu kaolewa au kaenda kazini?..na lingine la kuwa wasiri sana kwenye mambo yao...leo ngoja niishie hapa..
 
Back
Top Bottom