Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Kusema ni wafupi na roho mbaya ni kuexaggerate bwana...
Hakuna exaggration hapo, nna marafiki wengi wapare wanaroho mbaya....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusema ni wafupi na roho mbaya ni kuexaggerate bwana...
wanawake wengi hampendi Ndugu za wanaume,akija tuu mnaanza kununa, tabia kubadilika mpaka mgeni aondoke
​atiiii?!!!Wacha Mungu sana
Jiandae kufunga kiuno motor .......................................!:ballchain:
Hakuna exaggration hapo, nna marafiki wengi wapare wanaroho mbaya....
dady umesahau sifa nyingine
wanaloooogaaa haoooo!!
Khaaah
Hakuna exaggration hapo, nna marafiki wengi wapare wanaroho mbaya....
kwanza wapare tunajua kupenda, huyo anayesema eti ukioa mpare ufunge mota kwenye kiuno hayo ni maneno ya mkosaji,usiogope mwaya nenda katoe mahari...
Jiandae kufunga kiuno motor .......................................!:ballchain:
Rafiki upooooo!!!!!!!!!! Yaani mkono mia kwa mia na hata wanaume same same. Pia wana kisifa kingine wakikutana mjini wakishaanza Namnani....... lazima ngoma ikeshe.
Duh! Evelyn Salt, i rest my case! Nadhani kabila lako ni exceptional...nitafutie basi
Aloooh! Tehena mburii!!
Karibu sana usukumani kutana na wanawake wenye ukarimu wa hali ya juu...
Cc: charminglady