ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Ingawa kabila halihusiani sana na tabia ya mtu lakini jamii inaangalia majority ya hilo kabila wako vipi na wanafanya nini..then watu wana conclude kuwa hiyo ni tabia ya kabila zima kwa kutumia ule msemo kwamba samaki mmoja akioza basi ujue ni wote wameoza..mfano kwenye madanguro mengi sana wengi wao ni WAHAYA basi inakuwa rahisi ku conclude kuwa WAHAYA ni MALAYA/MACHANGUDOA sifa ambayo kijamii si nzuri..ukija kwa ndugu zetu wa IRINGA wengi wao ni Mahouse girl na WACHAGA wengi ni watu wa Biashara....Tukija kwa WAPARE na mimi nikiwa kama mpare si shauri kabila lingine kuoa mpare kwa sababu wanawake wa kipare wanatabia ya ubinafsi, majungu, uchoyo, roho mbaya na kubwa zaidi kutowapenda ndugu wa mume...kibaya zaidi mwanamke wa kipare anachukulia ndoa ni kama sehemu ya kuchuma..kwa huku kijijini unaweza ukamuona binti miezi 8 baada ya ndoa utamuona anaanza ujenzi kwao sasa unashangaa huyu kaolewa au kaenda kazini?..na lingine la kuwa wasiri sana kwenye mambo yao...leo ngoja niishie hapa..
Mkuu we mpare wa wapi