wanawake wa kipare

wanawake wa kipare

okey, hapa nakuelewa ila kama ndivyo basi hii ni tabia ya wanawake wa makabila mengi tu maana nimeona hayo kwa marafiki zangu wengi waliooa wachaga, wameru, wanyakyusa, wasukuma etc:yell::nod:
Anangoja umuoe!
 
Mchumba wangu ni mpare wa muda mrefu sijaona tabia zozote mbaya kama zinazotajwa hapa mfano wanapenda sana kugongwa nje, xtreme ubahili, chuki kwa upande wa mume etc. More elaboration please:yell::nod:
Mkuu endelea na mChumbaako acha kusikiliza wazushi hapa, hizo tabia alizoeleza mkuu hapo juu inategemea sio kua kila mpare anahio tabia, kinachofanya wanawake wa kipare waonekane wabaya ni kuwa wachumi zaidi yaani wanamikakati na mipangilio mingi ya kuendeleza familia kwa umakini wa hali ya juu,kwahio wanakua na bajeti sana ktk matumizi yao hivyo kuonekana wabahili na wenye roho mbaya wasiopenda ndugu wa mume,
 
wanawake wengi hampendi Ndugu za wanaume,akija tuu mnaanza kununa, tabia kubadilika mpaka mgeni aondoke
Hiyo ni sawa hata kwa dada au mama zetu. Jinsi ya kufanya ni sie kuanza kuwachukia ndugu za wake zetu (jino kwa jino) ili kama noma na iwe noma. Tukifika hapo ngoma droo, familia itakuwa baba, mama na watoto tu (uhuru wa mwanadamu)
 
Tabia ya mwanamke haiangaliw kwa kabila analotokea,mkoa wala dini ,kama ilivyo kwa wanaume pia,ishu inakuja hivi unapomwangalia mwanamke kwa kabila au ukoo au mkoa anaotokea unakua humtendei haki,angalia vitu unavyotaka wewe je anavyo kwani unaweza ukamuangalia kwa hilo kabila lake kumbe sivyo alivyo.
 
Tabia ya mwanamke haiangaliw kwa kabila analotokea,mkoa wala dini ,kama ilivyo kwa wanaume pia,ishu inakuja hivi unapomwangalia mwanamke kwa kabila au ukoo au mkoa anaotokea unakua humtendei haki,angalia vitu unavyotaka wewe je anavyo kwani unaweza ukamuangalia kwa hilo kabila lake kumbe sivyo alivyo.
hekima ya Kimungu iko ndani yako Mama
 
topic haisemi mke inasema wanawake
Namanisha Mchumba huficha makucha yake lakini mke hukunjua makucha bro. Ni vigumu kujua tabia kutoka kwa mchumba. Kuhusu kabila ni kweli maana tunajifunza kwa kuzoea kuona. Wazungu husema 'vaolensye parentisi produsi vaolensye fyucha parentisi'. Hivyo kama mama ana kidumu jua mtoto wa kike atajua kuwa ni jambo la kawaida kuwa na kidumu. Hata yeye akiolewa kidumu mtindo mmoja. Hivyo taratibu mipangilio ya kabila fulani huwa inarithishwa. Kwa mantiki hii kabila halina nafasi iwapo vizazi kama viwili au vitatu vitazaliwa nje ya hilo kabila.
 
Hiyo ni sawa hata kwa dada au mama zetu. Jinsi ya kufanya ni sie kuanza kuwachukia ndugu za wake zetu (jino kwa jino) ili kama noma na iwe noma. Tukifika hapo ngoma droo, familia itakuwa baba, mama na watoto tu (uhuru wa mwanadamu)

Wanaume sii rahisi kuchukia mtu yeyote na vinyongo huwa hatuna labda mtu akuchukulie mke au akuibie au akuzuie riziki yako lakini kwa kina mama bila sababu ya msingi kisa maneno tuu anamchukia mtu na haswa ndugu,labda ndugu mwenye pesa hapo huwa na kaheshima kidogo
 
wengi wana roho mbaya....
nature yao ni wafupi. sasa chukua matatizo ya watu wafupi + roho mbaya= wapare
Acha non-sense wewe,umefanya uchunguzi wapare ndo kabila lenye watu wafup zaid? Asilimia kubwa ya
watanzania ni watu wafupi!
 
Hii ni tabia ya huyu mama yako, sidhani kama ina uhusiano na kabila lake.
Kwenye familia tunae pia mwenye tabia zinashabihiana na hizi za mama yako, lakini si mpare. sitataja kabila lake maana haitakua vyema.

Sina hakika kama tabia chafu ya mtu ina uhusiano wowote na kabila la mtu. Mara nyingi tabia ya mtu hutokana na malezi aliyoyapata kutoka kwao au aliyoyaona kwao.

k.m. usitegemee mke akujali ikiwa hakuwahi kuona mama yake akimjali baba yake, usitegemee awe mkarimu ikiwa hakuwahi kuona ukarimu wa aina yoyote alipokulia, usitegemee apende wazazi wako ikiwa hakuwahi kuona mama yake akipenda wakwe zake n.k. n.k.
Unapotaka kuoa ni vyema kuona huyo mke wako amekulia katika mazingira ya namna gani, ni muhimu sana.
Kwa kuuliza hapa MMU sidhani kama utapata jibu muafaka. Muafaka wa swali lako unalo mwenyewe.



To be honest...
Wanawake wa Kipare nadhani wanafaa kuolewa na Wapare wenzao...
Sababu ya kusema hivyo ni vile my cuzn bro na baba mkubwa wameoa huko...
Huwa nawaona ni watu wenye ubinafsi sana na huwa hawapendi ndugu wa mwanaume...
Imefika mahali huyu mke wa baba mkubwa hataki kabisa kusikia mumewe kaenda kijijini kuwatembelea wazzi wake(bibi na babu yetu)...
Tabia kama hizo pia zaoneshwa na shemeji yetu...ni mengi ya kuyaandika lakini binafsi bado naamini Wapare waolewe na wapare wenzao labda wanawezana...
 
jaribu kutafuta mpare awe mshenga wako atakuongoza kwenye kila kitu. Hapa hakuna la maana utakaloambulia.

Hodi hodi wanabodi kwa mara ya kwanza najitokeza kwenye jamvi nikiomba maoni yunu kuhusu tabia za wanawake wa kipare na taratibu zao ukitaka kumwoa taratibu za mahari zinakuwaje? Nawasilisha!
 
Hodi hodi wanabodi kwa mara ya kwanza najitokeza kwenye jamvi nikiomba maoni yunu kuhusu tabia za wanawake wa kipare na taratibu zao ukitaka kumwoa taratibu za mahari zinakuwaje? Nawasilisha!

aisee binafsi nadhani kila mtu na tabia yake maana ukisema tabia kikabila sijui kama kuna ambao wao kabila lao wako perfect kwahiyo cha msingi ni mtu mwenyewe tu maana tabia ya mtu inatengenezwa na vitu vingi achilia ukabila na zama hizi maswala ya mahari ni almost the same kwa makabila yote maana watu wako kidigitali sana... huo ndo mtazamo wangu kwenye hili
 
Back
Top Bottom