wanawake wa kipare

inasadikika wanawake wakipare, kijita na kihaya wanafanana tabia kwa asilimia kubwa.
 
Wawili kaka pia nina mifano hai mingi from my close friends..! Asante kwa kuniachia hii mambo ya kabaang..!

Yani we Santo umetumia mtandao kwa dada zetu.😕
 
Last edited by a moderator:
we kabila gan? maana hayo uliyoyasema kwenye kila kabila yapo! wahaya wabinafsi,wanyakyusa wabinafs,vicheche,wapogoro wafupi,wangon wanapenda ngono,wazaramo ndio wenye mafiga matatu,wakinga wabahil,washirikina,warang malaya,wanyaturu vicheche,wagogo wachafu,washamba je we ni kabila gan taja kabila lako tukuchambue ushpende kukurupuka ----- we hayo uliyoyasema yana muhusu mtu binafsi na si kabila mbona husem kabila la kiongoz wako mkubwa
 

Tutonga na bajeti! Teteteteeeee wapare mpooo! Kazi kwenu, heri mimi kabila langu linasifiwa kwa wanawake wake kuwa wazuri wa 'simple harmonic motion'.
 
Me ninabahati ya kujuaa lugha za makabila 10 ya tanzania kipare kikiwemo, so hii sio sababu ya wewe kusema natokea huko....labda utoe justification nyingine.......

duh basi we ni noma ulivyoki master nikajua lazima unatoka huko.we asili yako wapi .nitajie tu kanda
 
Soma maelezo yangu utaelewa...kama wewe haupo hivyo basi mshukuru Mungu

hivi una uhakika na ulichokiandika wewe watu8 kuwa wanawake wa kipare ni wachoyo, wabinafsi umefanya utafiti jamani sisi hatuko hivyo kabisa.
 
Mchumba wangu ni mpare wa muda mrefu sijaona tabia zozote mbaya kama zinazotajwa hapa mfano wanapenda sana kugongwa nje, xtreme ubahili, chuki kwa upande wa mume etc. More elaboration please:yell::nod:

Wakati wa uchumba wote (wanaume na wanawake) huwa tunakuwa artificial! Oa kwanza kaka ndio ulete uzoefu hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…