Wanawake wa Kisabato ndio wanaoiishi Injili

Huu ni moyo gani ufafanuzi tafadhali
Neno KIASI kwa Tafsiri au Lugha ya Biblia ni hali ya kuwa na nguvu ya ustahimilivu au nguvu ya udhibiti wa mwili (mambo ya kimwili) ,
kwa hiyo wanaposema MOYO wa KIASI ina maana tuwe na moyo wa kuweza kudhibiti Tabia au mambo ya kimwili.
 
Dini ya kweli ni upendo. Ukimpenda mtu hauwezi kumuua, kum-baka, kumuibia, kumtungia uongo, n.k

Uislam na Ukristo ni tamaduni za wazungu na waarabu.

1 Yohane 4:20-21​

Mtu akisema kwamba anampenda Mungu, hali anamchukia ndugu yake, huyo ni mwongo. Maana mtu asiyempenda ndugu yake ambaye anamwona, hawezi kumpenda Mungu ambaye hamwoni. Basi, hii ndiyo amri aliyotupa Kristo: Anayempenda Mungu anapaswa pia kumpenda ndugu yake. UPENDO
 
Katika biblia neno Mhuni/wahuni limeonekana mara moja tu! Katika kitabu cha Ayubu 30:8.

Ayubu 30:8 "Wao ni wana wa wapumbavu, naam, WATOTO WA WAHUNI; Walifukuzwa kwa mijeledi watoke katika nchi"
 
Mtoa mada umedokoa hapo tu Ili Timotheo aondkane kuzuia wanawake kupendeza, SI kweli soma mpaka mwisho 👇
Screenshot_20221115-175327.jpg
 
ukristo wa kimwili ni kujilisha upepo, hata ujifanye kubadilisha sauti na tembea uwe kama Yesu hutafika mbinguni. Mungu ni Roho, nao wamwabudui imewapasa kumwabudu katika Roho na kweli, sio katika mwili na kweli. kwa matendo ya mwili hakuna aliyefanikiwa na hakuna atakayemwona Mungu. wanawake wa kisababo na wasabato wote wanajitahidi sana kwa nguvu za mwili kushinda dhambi na kufuata Neno la Mungu, lakini hawawezi, hakuna mwanadamu aliwahi kufanikiwa hilo.

Kinachotakiwa ni kujazwa Roho Mtakatifu baada ya kuokoka ili uongozwe na Roho. Mkiongozwa na Roho hampo chini ya sheria, kwasababu Roho ndio atakuongoza ufanyeje na usifanyeje.

pia, Yesu alisema huyo Roho akija atawaongoza na kuwatia kwenye kweli yote, which means yapo mambo mengi sana ambayo hayajaandikwa kwenye Biblia na ni dhambi, utayatambuaje? kwa kuongozwa na Roho. ukishika tu hizo amri kumi bado huwezi kufika mbinguni kwasababu yapo mambo zaidi ya hayo ambayo ni dhambi na hayajaandikwa.

dunia inabadilika, enzi Biblia ilivyokuwa inaandikwa hata hizi computer na tech zingine hazikuwepo, uelewa wa mambo ulikuwa tofauti na sasa, na wale walengwa walikuwa mbalimbali wa aina mbalimbali. jiulize, wanaposema enyi watumwa watiini mabwana zenu, kwan siku hizi bado kuna utumwa na biashara za utumwa? ilikuwa kwa nyakati hizo. kwa nyakati hizi yapo mengine bado yanatufaa ila mengine yanaongezeka na ni Roho anatujulisha moyoni kwamba hilo sio.

ninyi wafuasi wa MUSSA, kwani, enzi hizo zilivyokuwa jino kwa jino, ukiua unauliwa, alipokuja Yesu si alisema kisasi ni chake Mungu?

wasabato mtaumiza sana miili yenu kwa kujitahidi kumpendeza Mungu na mwisho wa siku mtaenda motoni wote. siongei kwa chuki wala kwa ushabiki ila kwa aliyenielewa ameelewa.

nideclee interest, mimini mpentecost, naamini kuokoka na kujazwa Roho Mtakatifu. kwa kuongea hayo hapo juu simaanishi vyote wanafanya wachungaji na manabii wa siku hizi ni sahihi, wengi wameingia kama magugu wamechafua upentecost pia, hao kina mwamposa na wengine. lakini ukweli upo palepale, awaye yote asipokuwa na huyo Roho wa Kristo, huyo sio wangu. ukiwa na Mungu moyoni utajua, usipokuwa naye utajua. lakini utajua kama alishawahi kuwepo kwako hata maramoja tu. Mungu akiwa moyoni mwako hakuna maswali, anayajibu automatically kufumba na kufumbua, hata ndoto za Kimungu kama wewe una Mungu ni dhahiri, hutaenda kuuliza, zaidi sana labda umuulize yeye. Okokeni mponye nafsi zenu.

wokovu ule wa mitume kumi na mbili, ule wa kujazwa Roho Mtakatifu nakunena kwa lugha, wasababu wanaukataa. wanataka kufuata Mungu kwa kujitahidi kwa nguvu za mwili na akili, sasa Yesu alikuja kufanya nini? na kwanini aliwaambia wabaki Jerusalem hadi wajazwe Roho? na baada ya Kujazwa Roho walibadilika hawakubadilika? walinena kwa lugha hawakunena? wasabato wanayo imani ya aina hiyo?
 
Mkuu kwa mwanamke ambaye ni Timamu na anayemwishi Mungu kwa uhalisia kujistiri kwake sio swala la kukumbushwa
Ni kweli ila kwa namna ambayo watu hufwata matamanio ya nafsi zao hukimbilia kusema mungu wao hutizama moyo na si mavazi. Nina rafika anavaa ovyo mno, kuna siku nikamua kumnasihi ujumbe alionijibu ni kumwombea tu rehema za mwenyezi Mungu
 
ukristo wa kimwili ni kujilisha upepo, hata ujifanye kubadilisha sauti na tembea uwe kama Yesu hutafika mbinguni. Mungu ni Roho, nao wamwabudui imewapasa kumwabudu katika Roho na kweli, sio katika mwili na kweli. kwa matendo ya mwili hakuna aliyefanikiwa na hakuna atakayemwona Mungu. wanawake wa kisababo na wasabato wote wanajitahidi sana kwa nguvu za mwili kushinda dhambi na kufuata Neno la Mungu, lakini hawawezi, hakuna mwanadamu aliwahi kufanikiwa hilo.

Kinachotakiwa ni kujazwa Roho Mtakatifu baada ya kuokoka ili uongozwe na Roho. Mkiongozwa na Roho hampo chini ya sheria, kwasababu Roho ndio atakuongoza ufanyeje na usifanyeje.

pia, Yesu alisema huyo Roho akija atawaongoza na kuwatia kwenye kweli yote, which means yapo mambo mengi sana ambayo hayajaandikwa kwenye Biblia na ni dhambi, utayatambuaje? kwa kuongozwa na Roho. ukishika tu hizo amri kumi bado huwezi kufika mbinguni kwasababu yapo mambo zaidi ya hayo ambayo ni dhambi na hayajaandikwa.

dunia inabadilika, enzi Biblia ilivyokuwa inaandikwa hata hizi computer na tech zingine hazikuwepo, uelewa wa mambo ulikuwa tofauti na sasa, na wale walengwa walikuwa mbalimbali wa aina mbalimbali. jiulize, wanaposema enyi watumwa watiini mabwana zenu, kwan siku hizi bado kuna utumwa na biashara za utumwa? ilikuwa kwa nyakati hizo. kwa nyakati hizi yapo mengine bado yanatufaa ila mengine yanaongezeka na ni Roho anatujulisha moyoni kwamba hilo sio.

ninyi wafuasi wa MUSSA, kwani, enzi hizo zilivyokuwa jino kwa jino, ukiua unauliwa, alipokuja Yesu si alisema kisasi ni chake Mungu?

wasabato mtaumiza sana miili yenu kwa kujitahidi kumpendeza Mungu na mwisho wa siku mtaenda motoni wote. siongei kwa chuki wala kwa ushabiki ila kwa aliyenielewa ameelewa.

nideclee interest, mimini mpentecost, naamini kuokoka na kujazwa Roho Mtakatifu. kwa kuongea hayo hapo juu simaanishi vyote wanafanya wachungaji na manabii wa siku hizi ni sahihi, wengi wameingia kama magugu wamechafua upentecost pia, hao kina mwamposa na wengine. lakini ukweli upo palepale, awaye yote asipokuwa na huyo Roho wa Kristo, huyo sio wangu. ukiwa na Mungu moyoni utajua, usipokuwa naye utajua. lakini utajua kama alishawahi kuwepo kwako hata maramoja tu. Mungu akiwa moyoni mwako hakuna maswali, anayajibu automatically kufumba na kufumbua, hata ndoto za Kimungu kama wewe una Mungu ni dhahiri, hutaenda kuuliza, zaidi sana labda umuulize yeye. Okokeni mponye nafsi zenu.

wokovu ule wa mitume kumi na mbili, ule wa kujazwa Roho Mtakatifu nakunena kwa lugha, wasababu wanaukataa. wanataka kufuata Mungu kwa kujitahidi kwa nguvu za mwili na akili, sasa Yesu alikuja kufanya nini? na kwanini aliwaambia wabaki Jerusalem hadi wajazwe Roho? na baada ya Kujazwa Roho walibadilika hawakubadilika? walinena kwa lugha hawakunena? wasabato wanayo imani ya aina hiyo?
Mwenye masikio na amesikia.
 
Moyo wa kiasi unaujua wewe, ulishawahi kuhudhuria makambi, watu midomo ikianza kuwasha unaropoka tu, hizo dhahabu MUNGU aliziumba za nini tuache tusuke kwa raha zetu tukiufurahia uumbaji wake muumba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mmeamua kuifata injili ifatwe inavyotaka, kuipinga injili ni uovu

1 Timotheo 2 :9
Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani.

Nenda makanisa mengine ukute aatu walivyotengeneza nywele
Hawana kipya zaidi ya kunyoa panki na kuharibu macho kwa kuvaa miwani eti waonekane wazuri
 
Waliokuwa wana tafsiri Biblia kutoka Kiingereza kwenda Kiswahili, hawakuwa mahiri wa Kiswahili na hivyo wakati mwingine walikuwa wanatengeneza "TUNGO TATA" pasipo wao kuelewa
Mfano mwingine huu hapa:
Umtwike Bwana mzigo wako naye atakutegemeza, Hatamwacha mwenye haki aondoshwe milele. Zaburi 55:22
Hapa walitakiwa kuandika hivi:
Umtwike Bwana mzigo wako naye atakutegemeza, milele hatamwacha mwenye haki aondoshwe .Zaburi 55:22
sanalii
mambo ya modifkesheni au sio hahahahaha.
 
1 petro3:3-5 kujipamba kwenu,kusiwe kujipamba kwa nje yaani kusuka nywele na kujitia dhahabu na kuvalia mavazi, bali kuwe utu wa moyoni usioonekana katika mapambo yaliyoharibika yaani roho ya upole,na utulivu iliyo na thamani kuu mbele za Mungu maana hivyo ndivyo walivyojipamba wanawake watakatifu wa zamani waliomtumaini Mungu nakuwatii waume zao.

Ukisoma vizuri utagundua kuwa kujipamba kwa mwanamke hakujakatazwa bali kujipamba kwa nje kufanane na usafi wa utu wa ndani ndio kitu Mungu anataka sio tuu kujilemba kwa nje ikiwa ndani una uchafu mwingi ni bure kabisa. Usafi wa utu wa ndani ni bora zaidi ya mavazi na sura au urembo ndivyo alichomaanisha Mwanamke au mwanaume lazima tujitahidi kuwa safi nje na ndani pia
asante sana mkuu make nami nimeona kama hajalielewa vyema neno
 
Wasabato wa siku hizi tunasuka nao knotless,
hapo kutokuvaa dhahabu ni kuficha umaskini kupitia dini.
pendezeni, pendezeni tu.
ibada ya kweli ni matendo
Hao sio wasabato, kuwa sabato ni kuifata biblia ipasavyo na sio kuichukua vifungu vifungu. labda waroma
 
Back
Top Bottom