Wanawake wa kisukuma wana hekima na wapole sana mfano mama Janeth Magufuli

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa wa mungu

Husika na kichwa cha habar hapo juu

Wanawake wa kanda ya usukuman yaan wasukuma ni watu wenye hekima sana wapole na wavumilivu na wenye kujituma sana, kama una ndugu yako kaoa msukuma au wewe mwenyewe umeoa msukuma utanielewa kwa hili nisemalo

Kwa mfano mama yetu mama Janet magufuri ni mwenye hekima na ni mpole sana jaman

Ukiachana na upole vile vile pia wana misimamo yao isiyoyumba wala kuyumbishwa na mtu yeyote wakiamua wameamua

Kwa mfano dada yetu frola alipomchoka yule Mario mbasha akamtema na kuolewa na daud kusekwa


Wanawake wakisukuma mumebarikiwa sana


LONDON BABY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla ya heshima, unyenyekevu kwanza
 
hhahhha nimchka na ya flora mbashaa aic!hahahahhha !ila kuna ukweli! sidhan km ni wanyenykev namna hyo mamila yao ya kiajabu ajabu ya kunynyekeaga vivulana vidg zimtufikisha hapa!nakasirika sana!
 
rubii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…