Ni mambo ya mfumo dume tu,ila nakwambia ukienda kwa wajita ndio utajuta. Mm kuna shemeji zangu hadi hatuongei kwaajili ya huo upuuzi. Watataka hadi nao uwafulie, wakitoka misele uwapokee loh! Na wakati mi mwenyewe nakuwa nimetoka zangu job nimechoka na yangu.
Kwahiyo una watotonategemea kuitwa bibi soon!yaan niolew mara 2 nataka kuvumbua nini mkuu
Kweli naunga mkono hojaHuo ndio ukweli wenyewe ,wasukuma tuko wapole sana.
Wanawake wa mara hawana adabu kabisa hata kidogoHao wa kunyenyekea wavulana na watu wa kiume kwa ujumla iko mkoa wa Mara. Nenda kwa wajita na wakurya ndio utajionea maajabu.
Mkuu walikufanyaje?
Hahaaaa unagomea milamh mwanza ipo sana nikiendaga vitoto vya miaka 20 vinalazimisha uvipigie magoti!kanatokea huko kanakutuma maji ukimletea upige goti had amaliz mie huwa nagoma
Hawajanifanya kitu lakin hawana adabu hata kidogo nilikuwq nao bunda kipind fulan yaan ni majanga tuMkuu walikufanyaje?
Hlf wana maneno balaa.Hawajanifanya kitu lakin hawana adabu hata kidogo nilikuwq nao bunda kipind fulan yaan ni majanga tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaahahaa mkuu walishakuacha nini kisa kibamiaWanamapezi ya kwelii mwanamke wa kisukuma akikupenda ni ngumu kumuacha au kukuacha hasa akipata mjeledi vizuri inavyotakiwa
Eeh mimi ndi LONDON BABY vp kuna nini kwanwewe si unaiitaga london baby
Acha uongo,msukuma pure nenda misungwi ndo utajua mpaka kwa bibi yake.
Jaman jamani,huu uongo pure.Mama Magufuli napajua mpaka kwao,tena tulikuwa tunasali wote AIC.Huyo Mama janeth magufuli na huyo magufuli wote sio wasukuma
Hakika wanena vyema mtoto mzuriWanawake wa kisukuma tumebarikiwa kuliko wanawake wote duniani.
Kuna watu kaz yao ni kuzusha wasiyo wajuaAcha uongo,msukuma pure nenda misungwi ndo utajua mpaka kwa bibi yake.