Wanawake wa Kiswahili (Kitanzania) kwanini mkiulizwa hili Swali Kuntu na Wanaume huwa mnalishangaa na kuona aibu kulijibu?

Yaani mwanaume mzima unamuuliza demu eti umgonge bao ngpi?aisee

Yaani watu wengine wa ajabu sana..yaani unamuuliza mwanamke nikugonge bao ngapi?mbona swali la kiwaki sana..Hivi hujui. kuna wanaume wengine bao zako 5 Ni Sawa na zake 2..unaweza kukojoa kila baada ya dakika 5,halafu kuna mwingine bao moja ni. dakika 50...wewe wa bao nyingi kila dakika 5 still utaonekana fala tu..Kweli sayansi ya mapenzi tunaijua wachache sana...M
 
Mbona linajibika tu? Acheni kudate walokole sijui wasabato 🤭

Hey! No offence!
Nilikutanaga na demu wa kilokole alikuwa anajifanya hataki kabisa mambo ya ngono. Kila nikiomba mzigo anashusha maombi.

Siku moja nilianguka na pikipiki akaja kuniona. Kitendo cha kukaa kitandani tu aliishia kuliwa.
Cha ajabu alikuwa kavaa shanga na vuzi limenyolewa kiduku na anajua style zote tofauti na matarajio yangu kuwa atataka kifo cha mende tu.

Saa nyingine huu ulokole hutumiwa kunyima watu utamu tu.
 
Mkuu Shikamoo...........Nimecheka mno.
 
Fact
 
Wee mbona ukitongoza ukaulizwa unafanya kazi gan unakasirika[emoji1787]
 
Ewe mtukufu Mola wetu mwingi wa Rehma, Ukarimu na Upole na upendo na huruma kwa viumbe wako twakuomba utusamehe makosa yetu na utuongoze kwenye njia zako za wema hakika sisi ni wakosefu na bila msaada wako na huruma zako tutaendelea kupotoka na kukukosea, tusamehe na utuongoze kwani akili zetu ulizotupatia ni hafifu bila msaada wako, zaidi ya yote tuondolee viburi ndani ya nafsi zetu, viburi na nguvu za shetani aliyelaaniwa, Ewe mtukufu wa Watukufu Bwana wa mabwana mhimidiwa na msifika tukubalie dua yetu, Amiiiin.
 
Kwa Kuvunjwa Mbavu hivi na Comments za JamiiForums Members hapa nisikie kuna Mpuuzi anataka JamiiForums ifutwe.

Kwa Comments za Kuchekesha ( Kuvunjwa Mbavu ) katika huu Uzi kuna hatari leo Watu walio jirani nami wakadhani Nimedata / Nimechizika kwani naona nitacheka mno leo.

Mkuu Shikamoo........!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…