Wanawake wa Kiswahili (Kitanzania) kwanini mkiulizwa hili Swali Kuntu na Wanaume huwa mnalishangaa na kuona aibu kulijibu?

😅😅😅😅Wew jamaa✋✋
 
Tafadhali Moderators wa JamiiForums futeni huu Uzi wangu kwani Comments za Members hapa zinazifanya Nicheke sana hivyo Wataniua kwa Kuzitesa Mbavu zangu Tukuka.

Shikamoo Mkuu.......!!!!!!
 
Amen / Amina
 
Hii CHAI ivi ulibaki na misuli kweli?
 
Mimi kibamia per seckond acha nisome comments tu
 
Huu ni ukosefu wa Adabu bali pia hilo bichwa naona liko empty kabisa
 
Hi ndo habari yangu ya kwanza kuisoma leo na ni j3 mapema kabisa nakutakana na uzi wa ngono zembe
 
Kwenye suala la kupiga mashine mzeeh sinaga utani, wananielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…