Wanawake wa kitanzania hawafai, wacha nitafute another race or culture

Danielmwasi So your MAMA is trash 😭🗑️, achana na haya ma collective punishment unaendelea kujidhalilisha zaidi. Tuombe ushauri tukusaidie na sio kujitukana kama ulivyofanya.
Amekwambia Mama yake kakulia malezi ya single parent au Mama yake katoka Familia masikini? Emu soma tena au Kinge kigumu?
 
not true, am just modern.
Labda jahazi modern taarab 😂🤣

Huo sio umodern ni ujinga kujumuisha kwamba watu fulani woote ni wale wale.. Kuna wanawake safi na viswaswadu, na pia kuna wanaume safi na viswaswadu.

Unamuinaje mama yako, je kila ukimtizama unasema baba huyu ilikuwaje akamuoa!? Ama una appreciate mzee alichagua mama mzuri kwenu?
 
i doubt you can hold my game. all my previous exs are models, miss regional, Universities or run ups. my game pretty fine. i made life decision. to settle with one and try be better . ila i gave up . i thank god i didn't marry her or have kids with.
Nigga thats classic but never curse on em bitches tho. We both need eachother sometimes, if shit ain't working then just kick her to the curbs.

Next thing you gotta do is choose wisely man. We got lota fine girls just glittering like damn, better be keen to pick the right one. Tame her to suit your traits bro!!!
 
1. your just old. sisi modern tupo straight foward ni in or out. hatuna siasa wala uswahili

2. soma, "bad humans but good mothers"

3.thank you
 
Punguza ukali mkuu. Tunaishi nao hivyohivyo
 
1. your just old. sisi modern tupo straight foward ni in or out. hatuna siasa wala uswahili

2. soma, "bad humans but good mothers"

3.thank you
1. Umemaliza kila kitu, ni kweli utoto unasumbua.

2. Mie siwezi kusoma kitabu cha mtu ili kupata akili, labda nisome ili nimkosoe ama kumpa credit kaongea point, nina busara zinazojitosheleza kuniongoza.

3. Ahsante pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…