Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajikuta mzungu koko, mzungu ya nyokweeeeeHiyo "another race" hawakutaki mkuu.
Wewe jamaa unachekesha kinyama.
Eti tafuta "white girl au asian girl" na kwamba "no one wants black women even black men"
What a fvcking idiot.
Ukweli ni kwamba hakuna mwanamke wa race nyingine anayetaka mwanaume mweusi, tena hasa waasia, hao mbwa ni wabaguzi kinyama kwa watu weusi kuliko race nyingine duniani. Hata wao kwa wao wanabaguana kwa kuwa tu na ngozi nyeusi kidogo, yaani hao wanajali weupe kuliko kitu chochote kile. Wewe unacheck vile viseries vyao uchwara then unadhani ndio wako vile, NO. Wewe endelea kuponda kwenu huku ukiimagine waasia kwenye series zao, lakini tambua wanakuona a lesser human being, wanakuona nyani. Fvck!!! Unaishi in an echo chamber of your own shit.
Wanawake wa kizungu vile vile hawataki wanaume weusi, na ukimpata mmoja basi atakuwa mbibi overweight kama mtungi wa oryx. Ukitaka binti mzuri basi labda uwe some fvcking millionaire, sababu ni expensive kinyama au uwe na blue eyes, sharp jaw na kichwa kilichojaa nywele kama wigi la kiblazil. Unaona? Wao wanapendana wenyewe kwa wenyewe.
Kiufupi wewe jamaa ni BOYA WITH CAPITAL LETTERS, no offense, lakini huo ndio ukweli. Sababu race zote zinapendana wenyewe kwa wenyewe na watu kama waasia ni utamaduni kabisa kutodate au kutoka nje ya race yao achana na kuoana kabisa.
Na cha mwisho ni kwamba wanawake mostly akili zao zinafanana. Wewe unasema wanawake wa kiafrica wana low iq, niambie wewe umeona record ipi duniani technologically, economically, critically inashikiliwa na mwanamke hata mmoja? HAKUNA.
Na kingine Waafrica sio Black! Hawatambuliki kama Black duniani bali kama Waafrica/Africans. Black ni wale wamarekani weusi, sababu maana ya Black ni ile rangi au "someone who is of an African ethnicity."
Binafsi naona hakuna race yenye wanawake wazuri zaidi ya Waafrika. Rangi nyeupe hainivutii kabisa. A real patriot.
Jamaa unajikuta mzungu kinyama.
I appreciate your perspective, but it's essential to recognize that a person's worth isn't determined by their skin color. Diversity is what makes our world beautiful and rich. Let's focus on understanding and appreciating each other, regardless of our race or ethnicity.being black is a curse
🤣🤣sawa mkuu iwahishe tu.Mi namchangia Stuli
mtu wa propaganda na mzungu they don't go together. mtu muwazi na mzungu they will leave forever.You're wrong bro!
Nimewahi kuwa na Mzungu tukazinguana, nikapata Mwarabu kutwa mtoto kuvaa niqab tukazinguana kwa ishu ya dini pia penzi lilikuwa la wizi mno, nikapata mswahili mtoto wa mheshimiwa fulani, mtoto chuma hasa na mimba nikapiga bahati mbaya ikatoka nikapata uhamisho kikazi kwenda arusha huku nyuma mjerumani mmoja akatokea ghafla akanizidi nguvu akaoa jumla na akamkimbizia ujerumani hata hivyo nami nilishaanza mletea mapicha picha baada ya kupata muhindi Arusha nae kwasababu ya penzi la wizi wizi yakanishinda tena.
Wapo wanawake weusi wazuri wengi mno na wanatabia njema, sema wewe umekutana na kimeo,hiyo ajali kazini [emoji23][emoji23]
Maisha ya kimahusiano ni safari mzee mwenzangu kaza roho.
Dah, braza uko na hasira nao sana.😂wanakaza sana kichwa , this is genetics, black women are the worst women in the world. if she is black, she is bad luck. yes, your sister included
Dah! Umevurugwa hadi unavuruga mada. Aisee. Muhimu usiaminishe hii jamii kuwa mawazo yako ni sahihi. Ndoa zina changamoto kweli ila zinahitaji watu intelligent kuzimudu. Kama huwezi kuimudu ndoa utayaweza maisha yenyewe? Tafuta wa kukutunza utakapofikwa ndugu. Hatakuja dada wala mama yako kukusitirimarriage is actually dead. married people are the most low intelligent human beings ever. kwa sasa. and IF you are planning to get married hold on. MEN BENEFIT NOTHING FROM MARRIAGES
STORY SHORT
7 years of being a long term relationship , which is over now. NA nilisema she will be my last girl . i kept the promise with everything. ila noma. nimejifunza :-
1. women have very low memory, they live for the moments, hakumbuki kitu bora wala kibaya. so everry one has equal chance to take over.
2) wanawake maskini achana nao, wanatabia za kimaskini, watakuletea umaskini , hawa ni wale wametoka kwenye msoto mkali. hata awe tabia gani ni nuksi. hata awe na ajira ni nuksi. why?? a) wajuaji b) wanafiki c) they lie na kutwist maneno sana.
3) wanakaza sana kichwa , this is genetics, black women are the worst women in the world. if she is black, she is bad luck. yes, your sister included.
4) Akitoka from single parents family, achana nae. huyu ndoa itavunjika tu statistics, shows 3 times more likely kuwa single mother. in other words you will try ila hauta shinda. no matter how you try. kwa hawa mungu amewaandikia nyota yao kabisa. maisha yao yameandikwa kama ni magumu au mazuli. you cant change it. utapotea. this goes to both gender
5.YOU CANT SAVE HER. SHE NEEDS NO SAVING. uwezi kumuokoa, aitaji kuokolewa. wanamke kama anatabia mbaya, leave dont hustle. amna mtu wa kumuokoa ever. yani kama ametoka kwnye familia maskini na single parent ndo kabisa. hata awe na mtu gani mzuri. atatafuta njia ya kuaribu all the beautiful life style, maana ajazoea raha. kwake shida ndo maisha.
and you cant save them. this goes to both gender. some times.
6. MONEY IS USELESS, its fun for 1st 30 mins then unajua kuwa hata billions cant change her or save her to be better. worse humans but better mothers. till you grow up then utajua.
7. IF YOU CAN GET A FOREIGN, GET A FOREIGN GIRL.
Go ASIAN GIRL AU WHITE GIRL, GET HER FAST. duniani kote no one wants black women. not even black people.
8. KATAA NDOA. DONT RUSH TO GET CHILDREN. THEY ARENT WORTH IT.
ONLY INTELLIGENT PEOPLE WILL GET ME, THE REST GOOD LUCK.
Life is hard,Dah! Umevurugwa hadi unavuruga mada. Aisee. Muhimu usiaminishe hii jamii kuwa mawazo yako ni sahihi. Ndoa zina changamoto kweli ila zinahitaji watu intelligent kuzimudu. Kama huwezi kuimudu ndoa utayaweza maisha yenyewe? Tafuta wa kukutunza utakapofikwa ndugu. Hatakuja dada wala mama yako kukusitiri
Life showed me fools,Your mom raise a fool
Pull yourself outta of that stormed den before it dawns.
NAKAZIA japo nimechelewaKATAA NDOA.
Acahna na wachaga mkuu oa Masai utanishukuru baadae
ana appreciated au anaenda kuongeza dau kwa wanaUkishindwa kukaa na demu wa kibongo ambaye ukimpooza kwa 50k anashkuru, huko kwingine sahau