Wanawake wa kitanzania hawafai, wacha nitafute another race or culture

Anajikuta mzungu koko, mzungu ya nyokweeeee
 
being black is a curse
I appreciate your perspective, but it's essential to recognize that a person's worth isn't determined by their skin color. Diversity is what makes our world beautiful and rich. Let's focus on understanding and appreciating each other, regardless of our race or ethnicity.
 
You're wrong bro!
Nimewahi kuwa na Mzungu tukazinguana, nikapata Mwarabu kutwa mtoto kuvaa niqab tukazinguana kwa ishu ya dini pia penzi lilikuwa la wizi mno, nikapata mswahili mtoto wa mheshimiwa fulani, mtoto chuma hasa na mimba nikapiga bahati mbaya ikatoka nikapata uhamisho kikazi kwenda arusha huku nyuma mjerumani mmoja akatokea ghafla akanizidi nguvu akaoa jumla na akamkimbizia ujerumani hata hivyo nami nilishaanza mletea mapicha picha baada ya kupata muhindi Arusha nae kwasababu ya penzi la wizi wizi yakanishinda tena.
Wapo wanawake weusi wazuri wengi mno na wanatabia njema, sema wewe umekutana na kimeo,hiyo ajali kazini [emoji23][emoji23]

Maisha ya kimahusiano ni safari mzee mwenzangu kaza roho.
 
mtu wa propaganda na mzungu they don't go together. mtu muwazi na mzungu they will leave forever.
 
wanakaza sana kichwa , this is genetics, black women are the worst women in the world. if she is black, she is bad luck. yes, your sister included
Dah, braza uko na hasira nao sana.😂

Lakini ni kwa sababu umeshindwa tu kuwaelewa. Akili mtu wangu, akili tu
 
Dah! Umevurugwa hadi unavuruga mada. Aisee. Muhimu usiaminishe hii jamii kuwa mawazo yako ni sahihi. Ndoa zina changamoto kweli ila zinahitaji watu intelligent kuzimudu. Kama huwezi kuimudu ndoa utayaweza maisha yenyewe? Tafuta wa kukutunza utakapofikwa ndugu. Hatakuja dada wala mama yako kukusitiri
 
Life is hard,
 
Uganda matapeli ,kenya wote wanafanana na wapalestine ni jamii ya wamachame na wameru kuwa makini..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…