Katika siasa za kisasa kuna chombo muhimu sana cha kusambaza ujumbe kupitia mitandao ya kijamii
Katika nchi nyingi imeshazoeleka ni wanaume wanakuwa na utawala mkubwa katika vyombo hivi
Lakini kwa Tanzania ni vice versa, wanaosikilizwa zaidi ni kina Mange, Maria, Hilda, Recho, n.k.
Kwa upande wa wanaume ni kwa mbali kina Sativa na kina Martin,