jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Kwaiyo kumbe wanaolewa kwaajili ya kujikimu, akili zao wanaolewa ili wapate mahitaji muhimu na kipaumbele chao ni kupewa pesa tu ndani ya ndoaZimwi likujualo halikuli ukakwisha achana nao kiongozi kwa afya ya akili zako we pambana na wakenya unaowajua maana unajua utajihami vipi
Ila hawa dada zetu wa kitanzania hawafai labda zamani huko kwanza wanaolewa kupunguza ugumu wa maisha
Sahiv huku tz vijana tuna slogan ya hakuna kuoa
Mwenyekiti wetu akiwa Liverpool VPN