Wanawake wa kitanzania wana tabia zipi kwenye ndoa?

Kwaiyo kumbe wanaolewa kwaajili ya kujikimu, akili zao wanaolewa ili wapate mahitaji muhimu na kipaumbele chao ni kupewa pesa tu ndani ya ndoa
 
Ah wee kuna wanawake wakenya romantic, mie nilikuwa na mkikuyu yule mwanamke alikuwa mkarimu na anajua kutoa uno balaaa and she was very understanding
Huku Kenya huwa tunasema Mkikuyu ni 'moto ya kuotea mbali', hata wanaume wao huwashuku sana.Ukitaka kuoa huko kuwa na makini.
 
Wanawapenda watu wanaoishi majuu(ulaya)utawang'oa kilaini
Kweli. Wanaposkia accent wanaamini mwanamme in mzuri. Huku Kenya walikuwa wanaolewa na Wanigeria Wahuni wenye ni majambazi hadi Waziri wa mambo ya ndani akaweka sheria. mwanamme hawezi kuwa dependant wa mwanamke kwa ndoa, itabidi wapate work permit na residency kama wengine hata kama wameoa wanawake wa Kenya.
 
Binafsi Ni mkenya pia ila naona wanawake wa kitanzania Wana afadhali kuliko wa kwetu Kenya.

Wanawake wa Kenya wengi Ni madikteta na hawapendi kuendeshwa kbsa.

Bado nipo Kwenye mchakato wa kutafuta mwanamke wa kitanzania nimweke ndani tujenge familia.
 
ingia uone mkuu!
 
Usaliti
 
Mrejesho uliweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…