hao cha mtoto..nenda kwa wamama wa kikurya utatamani ucheke.. mtu analia wee baadae anaomba maji ya kunywa akimaliza anaendelea kulia.
πππππππhao cha mtoto..nenda kwa wamama wa kikurya utatamani ucheke.. mtu analia wee baadae anaomba maji ya kunywa akimaliza anaendelea kulia.
Wpi huko?Huwa si Mbeya tu. Kwani hata kwetu ipo hiyo na huwa napata shida sana mambo ya kuanza kupiga yowe kuanzia barabarani hadi kwenye nyumba yenye msiba kwani kikawaida sijuagi kulia kwa makelele.
Nilienda msiba mmoja huo ila baada ya hapo nikawa nacheka tu kwani dada zangu nilioenda nao tangia njiani wanawaza namna ya kilio watakachokishusha pindi tukishashuka. Saa ya kushuka sasa wote wamelia kwa mikelele kuanzia barabarani mpaka kufika nyumbani eti wote wameishiwa nguvu ikabidi waanze kupepewa huku mimi mwenzao niko kawaida tu nalia kichini chini cha zaidi nikaishia kujiziba mtandio machoni.
Baada ya dakika chache eti wameshakaa sawa wanauliza chakula kiko wapi. [emoji3][emoji3]
Na Wamama wa Kijita nao wanalia sana huku akipepesa macho juu miti kama kuna Ng'ombe alie chinjwa kwaajili ya kitoweo Msibani.Ilifika wakati Watu wakawa wanatania kuwa Wanawake huwa wanalia wakisema... Inyama isungilwe aki?! Yaani nyama imening'inizwa wapi!Kama wamama wa kijaluo, wanakuja msibani wako poa kabisa story kibao njiani. Wakikarlibia msibani wanakubaliana nani alianzishe, akianza mmoja kincchofuata ni kilio cha mwaka ukiwa mgeni utabaki na butwaa. Baada ya muda wakifika wananyamaza, stori zinaendelea na misosi ya kufa mtu plus muziki wa nguvu na pombe.
Aaa ulikosea ungeenda na kitunguu au pilipili mpaka vikams vingekushuka au ungevuta hisia za babu mzaa babu yako,,[emoji23][emoji23][emoji23]Ha ha ha ha yaani halafu ni lazima ulie huku unaongea, mimi ni mnyakyusa ila hii mila imenishinda.
Nilienda kwenye msiba hata siwajui njiani tukaambiwa tukifika karibu tuanze yowe.
Yani kila nikitaka kulia machozi hayaji niliabika siku ile maana watu wanakuja wanatupokea mimi natoa tu macho.
Mi huwa napata shida sana mambo ya kuanza kupiga yowe kuanzia barabarani hadi kwenye nyumba yenye msiba kwani kikawaida sijuagi kulia kwa makelele.
Nilienda msiba mmoja huo pamoja dada zangu sasa wao tangia njiani wanawaza namna ya kilio watakachokishusha pindi tukishashuka. Saa ya kushuka sasa wote wamelia kwa mikelele kuanzia barabarani mpaka kufika nyumbani wote wameishiwa nguvu ikabidi waanze kupepewa huku mimi mwenzao niko kawaida tu nalia kichini chini cha zaidi nikaishia kujiziba mtandio usoni.
Baada ya dakika chache eti wameshakaa sawa wanauliza chakula kiko wapi. [emoji3]
Vipi kwenye kuaga mgeni kama anakwenda mbali unaweza kucheka nakuaga tangu siku mbili kabla anakusindikiza anakuaga mpaka ndani ya gari tena anasimama nje anakuaga mpaka gari inaanza kuondoka anawataja wote huko unakokwenda kama unakuja dar hata viongozi anakutajia msalimie magufuli,mchungaji mwambosa ,masanja mkandamizaji,poul makonda hadi raha kama sio karaha mbeya nyoooookoo nawakubaliHahhahhha....wanyakyusa ni Noma kwenye msiba!
HahahahaaaKama wamama wa kijaluo, wanakuja msibani wako poa kabisa story kibao njiani. Wakikarlibia msibani wanakubaliana nani alianzishe, akianza mmoja kincchofuata ni kilio cha mwaka ukiwa mgeni utabaki na butwaa. Baada ya muda wakifika wananyamaza, stori zinaendelea na misosi ya kufa mtu plus muziki wa nguvu na pombe.
Dah umenikumbusha nilihudhuria msiba mmoja wa jamaa yangu huko Murangi kijiji cha Musanja ilikuwa balaa, yaani mpaka unaona kuna usanii.Na Wamama wa Kijita nao wanalia sana huku akipepesa macho juu miti kama kuna Ng'ombe alie chinjwa kwaajili ya kitoweo Msibani.Ilifika wakati Watu wakawa wanatania kuwa Wanawake huwa wanalia wakisema... Inyama isungilwe aki?! Yaani nyama imening'inizwa wapi!