Wanawake wa Mbeya wanajua sana kulia msibani

Wanawake wa Mbeya wanajua sana kulia msibani

hao cha mtoto..nenda kwa wamama wa kikurya utatamani ucheke.. mtu analia wee baadae anaomba maji ya kunywa akimaliza anaendelea kulia.

Mkuu wakurya ndiyo cha mtoto kwa wajaluo kabisa. Yaani ikiwa wakati wa mvua mwanamke wa kijaluo ataoga tope kwa kugalagala chini. Kilio balaa alafu macho makavu kabisa, akimaliza anakuta chai birika na maandazi ndoo ndogo kama appetizer.

Kinafuata chakula cha nguvu na vinywaji, then usiku ni muziki hadi majogoo. Yaani ni sherehe kama vile hakuna msiba. Wakurya kwanza hawakai na maiti na msiba ni faster watu wanatawanyika ingawa wanawake nao wanalia.
 
Mi huwa napata shida sana mambo ya kuanza kupiga yowe kuanzia barabarani hadi kwenye nyumba yenye msiba kwani kikawaida sijuagi kulia kwa makelele.

Nilienda msiba mmoja huo pamoja dada zangu sasa wao tangia njiani wanawaza namna ya kilio watakachokishusha pindi tukishashuka. Saa ya kushuka sasa wote wamelia kwa mikelele kuanzia barabarani mpaka kufika nyumbani wote wameishiwa nguvu ikabidi waanze kupepewa huku mimi mwenzao niko kawaida tu nalia kichini chini cha zaidi nikaishia kujiziba mtandio usoni.

Baada ya dakika chache eti wameshakaa sawa wanauliza chakula kiko wapi. 😀
 
Huwa si Mbeya tu. Kwani hata kwetu ipo hiyo na huwa napata shida sana mambo ya kuanza kupiga yowe kuanzia barabarani hadi kwenye nyumba yenye msiba kwani kikawaida sijuagi kulia kwa makelele.

Nilienda msiba mmoja huo ila baada ya hapo nikawa nacheka tu kwani dada zangu nilioenda nao tangia njiani wanawaza namna ya kilio watakachokishusha pindi tukishashuka. Saa ya kushuka sasa wote wamelia kwa mikelele kuanzia barabarani mpaka kufika nyumbani eti wote wameishiwa nguvu ikabidi waanze kupepewa huku mimi mwenzao niko kawaida tu nalia kichini chini cha zaidi nikaishia kujiziba mtandio machoni.

Baada ya dakika chache eti wameshakaa sawa wanauliza chakula kiko wapi. [emoji3][emoji3]
Wpi huko?
 
Kama wamama wa kijaluo, wanakuja msibani wako poa kabisa story kibao njiani. Wakikarlibia msibani wanakubaliana nani alianzishe, akianza mmoja kincchofuata ni kilio cha mwaka ukiwa mgeni utabaki na butwaa. Baada ya muda wakifika wananyamaza, stori zinaendelea na misosi ya kufa mtu plus muziki wa nguvu na pombe.
Na Wamama wa Kijita nao wanalia sana huku akipepesa macho juu miti kama kuna Ng'ombe alie chinjwa kwaajili ya kitoweo Msibani.Ilifika wakati Watu wakawa wanatania kuwa Wanawake huwa wanalia wakisema... Inyama isungilwe aki?! Yaani nyama imening'inizwa wapi!
 
Ni taratibu za misiba kwa mikoa ya mbeya, iringa na njombe. Hata kama watu wamelia wametulia akija ndugu ambaye alikuwa amechelewa kufika basi analianzisha kwa mbali kabla ya kuingia ndani kwa wafiwa ambao nao hujumuika nae kwa kipindi kifupi kisha wanatulia na maongezi mengine yanaendelea.
 
Ha ha ha ha yaani halafu ni lazima ulie huku unaongea, mimi ni mnyakyusa ila hii mila imenishinda.

Nilienda kwenye msiba hata siwajui njiani tukaambiwa tukifika karibu tuanze yowe.

Yani kila nikitaka kulia machozi hayaji niliabika siku ile maana watu wanakuja wanatupokea mimi natoa tu macho.
Aaa ulikosea ungeenda na kitunguu au pilipili mpaka vikams vingekushuka au ungevuta hisia za babu mzaa babu yako,,[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseeee
Mi huwa napata shida sana mambo ya kuanza kupiga yowe kuanzia barabarani hadi kwenye nyumba yenye msiba kwani kikawaida sijuagi kulia kwa makelele.

Nilienda msiba mmoja huo pamoja dada zangu sasa wao tangia njiani wanawaza namna ya kilio watakachokishusha pindi tukishashuka. Saa ya kushuka sasa wote wamelia kwa mikelele kuanzia barabarani mpaka kufika nyumbani wote wameishiwa nguvu ikabidi waanze kupepewa huku mimi mwenzao niko kawaida tu nalia kichini chini cha zaidi nikaishia kujiziba mtandio usoni.

Baada ya dakika chache eti wameshakaa sawa wanauliza chakula kiko wapi. [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahhahhha....wanyakyusa ni Noma kwenye msiba!
Vipi kwenye kuaga mgeni kama anakwenda mbali unaweza kucheka nakuaga tangu siku mbili kabla anakusindikiza anakuaga mpaka ndani ya gari tena anasimama nje anakuaga mpaka gari inaanza kuondoka anawataja wote huko unakokwenda kama unakuja dar hata viongozi anakutajia msalimie magufuli,mchungaji mwambosa ,masanja mkandamizaji,poul makonda hadi raha kama sio karaha mbeya nyoooookoo nawakubali

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wamama wa kijaluo, wanakuja msibani wako poa kabisa story kibao njiani. Wakikarlibia msibani wanakubaliana nani alianzishe, akianza mmoja kincchofuata ni kilio cha mwaka ukiwa mgeni utabaki na butwaa. Baada ya muda wakifika wananyamaza, stori zinaendelea na misosi ya kufa mtu plus muziki wa nguvu na pombe.
Hahahahaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Wamama wa Kijita nao wanalia sana huku akipepesa macho juu miti kama kuna Ng'ombe alie chinjwa kwaajili ya kitoweo Msibani.Ilifika wakati Watu wakawa wanatania kuwa Wanawake huwa wanalia wakisema... Inyama isungilwe aki?! Yaani nyama imening'inizwa wapi!
Dah umenikumbusha nilihudhuria msiba mmoja wa jamaa yangu huko Murangi kijiji cha Musanja ilikuwa balaa, yaani mpaka unaona kuna usanii.
 
Back
Top Bottom