hao cha mtoto..nenda kwa wamama wa kikurya utatamani ucheke.. mtu analia wee baadae anaomba maji ya kunywa akimaliza anaendelea kulia.
Mkuu wakurya ndiyo cha mtoto kwa wajaluo kabisa. Yaani ikiwa wakati wa mvua mwanamke wa kijaluo ataoga tope kwa kugalagala chini. Kilio balaa alafu macho makavu kabisa, akimaliza anakuta chai birika na maandazi ndoo ndogo kama appetizer.
Kinafuata chakula cha nguvu na vinywaji, then usiku ni muziki hadi majogoo. Yaani ni sherehe kama vile hakuna msiba. Wakurya kwanza hawakai na maiti na msiba ni faster watu wanatawanyika ingawa wanawake nao wanalia.