Wanawake wa Mbeya wanajua sana kulia msibani

Wajaluo miyeyusho Sana , msiba unachukua hata mwezi
 
Hawa ndio wanavikundi vya kukodishwa kulia kwenye misiba??
 
Duuh,uzuri wa Mbeya Iringa wanawake wake sio wachoyo kabisaa
Kwenu umachingani ni zaidi ya mno. Nilimhonga mwanamke wa Mtwara chinga elfu hamsini. Akabaki kuniuliza" hii ni kifungua uchumba au mahari"
Kwa kweli Ntwara sikupata tabu ya mabibi.
 
Umenikumbusha asee mwaka jana tulifiwa na bibi yetu msiba ulikaa mwezi mzma eti lazma ndugu wote wafike yaan kijijini ilkua ni chakula na pombe na mziki wa kufa mtu plus wamama kulia yani nilikua nacheka sana kuona maigizo yao
Siku ya kuleta maiti sasa ndo ilkua vituko watu walilia kijiji kizima Mama ndo alinifurahisha sana alivokua akilia yan analia afu ana nambia nimfatie vocha mara nikaangalie pochi yke kwenye gari alfu anaendelea kumlilia mama mkwe wake (bibi)

Siku ya mazishi sasa ndo nilishangaa usiku kulikua na disco la kumuaga marehemu la nguvu yaan kuna wasicha wa kununua ili ucheze nao kwa 200 tu mbele ya watu kwakwel ni burudan sana
 
Wewe sasa ndio umehudhuria msiba wa wajaluo kiuhalisia kabisa, ukikuta familia inayojiweza kila siku Ng'ombe anaangushwa na nyama choma na pombe za kutosha. Ukiwa vizuri mfukoni disko la usiku utanunua warembo wa kudansi nao unavyotaka mwenyewe, mkielewana wakati wa kudansi ni kifuatacho. Kiufupi ni sherehe ya kumuaga marehemu
 
Kwa kweli inafurahisha sana
 
maza ako noma sana daah😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…