Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Write your reply...hili kabila bwana daah bila kusahau kusalimia kwa kupiga magoti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajaluo miyeyusho Sana , msiba unachukua hata mwezii
Yaani kweli kabisa mkuu, kitambo msiba unakaa hata wiki 2 hadi 4 wanasubiri ndugu wote wa marehemu wafike. Muda wote huo ni pombe, msosi na muziki. Wakisikia wageni wameanzisha kilio huko nje wanapokelewa kwa kilio na wenyeji ghafla wanamute na stori zinaendelea. Umenikumbusha mbali mkuu.
Kwenu umachingani ni zaidi ya mno. Nilimhonga mwanamke wa Mtwara chinga elfu hamsini. Akabaki kuniuliza" hii ni kifungua uchumba au mahari"Duuh,uzuri wa Mbeya Iringa wanawake wake sio wachoyo kabisaa
Kulia misibani ni sanaa fulani hivi. Je ulishawahi kuona wamama wa Kimaasai wanavyolia misibani?Asee umenikumbusha msiba mmoja
Yaani wanalia kwa biti kabisa nilishangaa kwakweli
wamasai wanakaa na msiba? huwa naskia wanatelekeza maiti hospital au poriniKulia misibani ni sanaa fulani hivi. Je ulishawahi kuona wamama wa Kimaasai wanavyolia misibani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha asee mwaka jana tulifiwa na bibi yetu msiba ulikaa mwezi mzma eti lazma ndugu wote wafike yaan kijijini ilkua ni chakula na pombe na mziki wa kufa mtu plus wamama kulia yani nilikua nacheka sana kuona maigizo yaoç
Mkuu wakurya ndiyo cha mtoto kwa wajaluo kabisa. Yaani ikiwa wakati wa mvua mwanamke wa kijaluo ataoga tope kwa kugalagala chini. Kilio balaa alafu macho makavu kabisa, akimaliza anakuta chai birika na maandazi ndoo ndogo kama appetizer.
Kinafuata chakula cha nguvu na vinywaji, then usiku ni muziki hadi majogoo. Yaani ni sherehe kama vile hakuna msiba. Wakurya kwanza hawakai na maiti na msiba ni faster watu wanatawanyika ingawa wanawake nao wanalia.
Wewe sasa ndio umehudhuria msiba wa wajaluo kiuhalisia kabisa, ukikuta familia inayojiweza kila siku Ng'ombe anaangushwa na nyama choma na pombe za kutosha. Ukiwa vizuri mfukoni disko la usiku utanunua warembo wa kudansi nao unavyotaka mwenyewe, mkielewana wakati wa kudansi ni kifuatacho. Kiufupi ni sherehe ya kumuaga marehemuUmenikumbusha asee mwaka jana tulifiwa na bibi yetu msiba ulikaa mwezi mzma eti lazma ndugu wote wafike yaan kijijini ilkua ni chakula na pombe na mziki wa kufa mtu plus wamama kulia yani nilikua nacheka sana kuona maigizo yao
Siku ya kuleta maiti sasa ndo ilkua vituko watu walilia kijiji kizima Mama ndo alinifurahisha sana alivokua akilia yan analia afu ana nambia nimfatie vocha mara nikaangalie pochi yke kwenye gari alfu anaendelea kumlilia mama mkwe wake (bibi)
Siku ya mazishi sasa ndo nilishangaa usiku kulikua na disco la kumuaga marehemu la nguvu yaan kuna wasicha wa kununua ili ucheze nao kwa 200 tu mbele ya watu kwakwel ni burudan sana
Kwa kweli inafurahisha sanaWewe sasa ndio umehudhuria msiba wa wajaluo kiuhalisia kabisa, ukikuta familia inayojiweza kila siku Ng'ombe anaangushwa na nyama choma na pombe za kutosha. Ukiwa vizuri mfukoni disko la usiku utanunua warembo wa kudansi nao unavyotaka mwenyewe, mkielewana wakati wa kudansi ni kifuatacho. Kiufupi ni sherehe ya kumuaga marehemu
maza ako noma sana daah😀😀Umenikumbusha asee mwaka jana tulifiwa na bibi yetu msiba ulikaa mwezi mzma eti lazma ndugu wote wafike yaan kijijini ilkua ni chakula na pombe na mziki wa kufa mtu plus wamama kulia yani nilikua nacheka sana kuona maigizo yao
Siku ya kuleta maiti sasa ndo ilkua vituko watu walilia kijiji kizima Mama ndo alinifurahisha sana alivokua akilia yan analia afu ana nambia nimfatie vocha mara nikaangalie pochi yke kwenye gari alfu anaendelea kumlilia mama mkwe wake (bibi)
Siku ya mazishi sasa ndo nilishangaa usiku kulikua na disco la kumuaga marehemu la nguvu yaan kuna wasicha wa kununua ili ucheze nao kwa 200 tu mbele ya watu kwakwel ni burudan sana