Wanawake wa mtandaoni mnaotutapeli bila kutupa tukitakacho mnatuumiza sana

empty set umenikumbusha kwenye uzi wetu wa likes[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe niliona mlivyopitiwa na mabomu ya nyuklia hahahha na huwa hajibu kwa kukurupuka lazima apitie kwenye uzi wako na comment zako anatumia saikolojia anarud kukujibu anakuandikia bonge la barua unabak unashangaaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji23] niache
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji23] niache
Naogopa kutaja jina lake maana niliona kuna sehem nimemuandika ndan ndan lakin amelike nikasema huyu atakuwa ananifanyia utafit aje anipe bomu la nyuklia nn
 
Shauri yako utapewa bomu mojaaa hatarious wacha ninyamaze nikatembelee majukwaa mengine LOL
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Unachezwa na machale vizuri, unajitahidi kutumia akili kuepusha usitapeliwe, unafanikiwa kumbana tapeli wako vizuri, mwisho wa tukio unaamua kutumia ujinga unaliwa. Delila hakuwahi kumuacha mwanaume salama.
 
Sampuli kama wewe watu wa mikoani hawa, mburulaaaaa.......

yani mfano umenunua dawa ya kuongeza nguvu za kiume kwa one hour kutegemea demu anakuja, Then anakupiga kalenda kama huyo mara hiki, kile haeleweki yani, ndo utajua kwa nn hii Tanzania ya viwonder.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…