Wanawake wa mtandaoni mnaotutapeli bila kutupa tukitakacho mnatuumiza sana

Wanawake wa mtandaoni mnaotutapeli bila kutupa tukitakacho mnatuumiza sana

Kuna mtu aliwai kunitumia nauli from arusha to mtwara tena Mara mbili .humu humu ahahaaa jomoni???.hv nije mtwara Mkuu kugegedwa kweli??
 
Aisee.....


Poyeee...


Hiyo ni sawa na kubet...

Upate ama upatwe.

Pambana na hali yako
 
Zaidi ya zwazwa. Kuna uzi uliletwa humu. Jamaa alituma nauli ya ndege kwa dada. Alipofika airport kumpokea, akijikuta wanampokea wawili, eti ni kakake so anaenda kwanza kwa bro. Bado tu unatuma nauli.
 
HAHAAA USISEME KUWA HUJAWAHI KUBET ...HIYO NI BIKO KABISA MKUU
 
bado kuna wanaoendelea kuliwa kwa dizaini hii???
huo ni uzuzu wa kiwango cha Bob Magogo
 
Back
Top Bottom